Ni lini umewahi kumsikia Rais Samia Suluhu Hassan akizungumzia mambo haya?

Akaolewa miaka 18, akawa na wake wenza. JK akapendekeza awe makamu. Duuu hii nchi atasema ati Mungu alipanga. Hata idd Amini wa Uganda Mungu alipanga—— , Imani zingine bana!!

Kwa nini tunajitesa sisi watanzania?
 
Hayo ya biashara ndio anazungumzia mara nyingi kwenye maelezo yake kuliko mambo mengine.
 
Akaolewa miaka 18, akawa na wake wenza. JK akapendekeza awe makamu. Duuu hii nchi atasema ati Mungu alipanga. Hata idd Amini wa Uganda Mungu alipanga—— , Imani zingine bana!!

Kwa nini tunajitesa sisi watanzania?
Mfumo wa meritocracy umeuliwa ilia vilaza wakae juu na vilaza wanatumia polisi na vyombo vya dola kulinda maslahi yao.
 
Aliolewa akiwa na miaka 17! Huyu mama ana bahati sana
 
Akaolewa miaka 18, akawa na wake wenza. JK akapendekeza awe makamu. Duuu hii nchi atasema ati Mungu alipanga. Hata idd Amini wa Uganda Mungu alipanga—— , Imani zingine bana!!

Kwa nini tunajitesa sisi watanzania?
Kumbe 18 nilidhani 17
 
Anaongelea ya Gesi..mkuu..

Gesi yenyewe akiambiwa a define sidhani kama anafaham ni nn
 
 
Ngoja waje Swali zuri sana,uone wanavyojikanyaga!
 
Tlaahtlaah na nduguyo,mwashambwa mkujevtuone!
 
Unamuonea. Atayawezaje haya wakati, kama alivyowahi kukiri, elimu yake ni ya kuunga unga?
 
🤣🤣🤣 maake hapo kwanza ncheke. Hana huo uwezo. Uwezo wake ni 4R and other minor issues.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…