Ni mafuta gani mazuri kwajili ya kukuza nywele

Sabuni za kuogea Lifebouy za SA zina flavour tofauti ni nzuri sana pia sina picha zake hapa huko wanauza Tsh 2500 mpaka 3000 tu.
Ni nzuri??,. Vipi kwa ambao wana allergies za ngozi hayana shida?
 
Saizi hauuzi tena??
Ukihitaji nabeba kidogo unayohitaji au gari ikitoka napakia wanakushushia mkoa ulipo kama ni bara bara ya Tunduma to Daslm na Arusha mafuta yana vitu vingi sana vya kulipia kabla ya kodi na huku bei imeongezeka kwa jumla kutokana exchange rate yao na dollar nipo kwenye spea za magari na magari yenyewe..
 
Ooh,. Unakujaga mwezi gani labda nikuagize . Unabeba mafuta tu au na vitu vingine?
 
yani upake tu mafuta nywele ziwe ndefu??

Nywele ni asili tu ya mtu kanunataka ziwe ndefu anza kusuka suka vitunguuu
 
Totolii nasuka ndevu mafungu matatu ila wewe upo twendwe kilioni🤣🤣🤣
Hahah,. Em niwekee kwani picha nione maana nashindwa kuimagine hayo mafungu matatu ya ndevu😃😃
 
Ooh,. Unakujaga mwezi gani labda nikuagize . Unabeba mafuta tu au na vitu vingine?
Naishi Arusha kila mwezi narudi nyumbani nikipakia narudi huko hata kama nikiwa huko hapa vijana wanafanya kazi unaweza kuniagiza kitu chochote unachokijua au unachokihitaji kama vidogo vidogo utalipia huko ukipokea..nilikua nabega handbags za jumla lakini ingawaje hata chache najua ntafata wapi nywere zile Og kabla kodi haijapanda almost vitu vyenu vingi..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…