Ni mafuta gani mazuri kwajili ya kukuza nywele

Hongera, mwanamke mwenye muonekano natural hasa Yule ambae ana uwezo ila Yuko natural huwa namuona Yuko smart Sana kichwani
Daah😄😃,.
Tatizo Mungu hajai mpa mtu vitu vyote pekeyake
 
Haha,. Mikono na ngozi yangu ni milaini tu naturally haijawahi kuwa ngumu since i was born 😃😄😄..
Kuna watu nikisalimiana nao lazima waulize lee unapaka mafuta gani nikiwaambia Vaseline for Men wanahisi nawadanganya
Kwanini upakae Vaseline for men wakati kuna yale ambayo ni 100% pure petroleum jelly?.
 
Gari itakua land cruiser,nimepiga accounts hapa na kazi nilikua na Debeers marines kwa muda mrefu baada ya kuachana na accounts nikagusa mechanics kwa mbali kama kumsaidia Fundi Eng room ila baadae ndio nikawa mwalimu mwenyewe Eng room.
Sure ,ila SA pagumu na pesa inabana master
 
Huwa nanunua 45,000
Ni mazuri as mimi ni mvivu wa kutunza nywele
Mambo ya steaming na nini huwa nasahau.

Soo haya yananistiri sana
Niwewe ndio unayauza??,. Na feedbacks yake inakuwaje ? I mean matokeo baada ya mda gani?
 
Madame kwa size yako hiyo ya nywele kwa kweli unapendeza sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…