Ni magari gani manne (4) utanunua endapo utakuwa na uwezo?

Kama umeona video ya koffi olomide ( papa ngwasuma) lipo mle

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kumbe na we unamskiliza huyu jamaa?
Hiyo nyimbo ndio the best, mimi na kijana wangu tunaipenda balaa.
Napenda pale Koffi anaposhuka kwenye gari halafu kuna mlio wa helcopta kwa mbali.
GMC ni bonge la mashine.
 
Mkuu kumbe na we unamskiliza huyu jamaa?
Hiyo nyimbo ndio the best, mimi na kijana wangu tunaipenda balaa.
Napenda pale Koffi anaposhuka kwenye gari halafu kuna mlio wa helcopta kwa mbali.
GMC ni bonge la mashine.
Wewe Kama Mimi tu GMC Yukon Suburban .au Cheveloret Suburban zile Gari za kibabe sana aisee ningekuwa mbunge ningezitumia hizo .

Pia kibongo bongo nawakubali sana NIssam Dualis na Nissan Extrail second edition zimetulia sana

Pia nalikubali Volkswagen Toureg

Na mwisho Ningevuta SUV ya Mercedes Benz yoyote jamaa wanajua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu nipe ABC kidogo jjuu ya Volvo V40 ya 2003/204.. kuna mwamba hapa kakwama majanga kama yote sasa kabla sijamnusuru naomba kujua ni gari yenye characteristics gani, ni 1.5L.
 
List yangu,
1. SUV kwa long safari, hapa Mazda CX-5, diesel itahusika
2. Mizunguko mjini, Toyota aqua hybrid, cc1400 safi kabisa
3. Ujasiliamali kirikuu tu kinatosha
4. Family na adventure, napenda sana vw combi, classic car of all time
 
Unamaanisha huko Auto trader?
Bei zinategemeana na vitu kama mileages na gari kama lilishawahi kupata ajali.
Na kama unajua, wakati huu wa summer watu wanauza vitu vyao ili wapate pesa ya vacation mazee!
Niliona benzi flani bei ipo chini mpaka unajiuliza mara mbili if this is possible.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…