Expensive ukilinganisha na gari zipi? Maana ukilinganisha na luxury car brands, Volvo ni the cheapest.
Volvo wapo conscious na mazingira sana. Gari nyingi kama si zote za kuanzia 2015 kuja juu, CC ni ndogo ukilinganisha na washindani wake. Kwa mfano XC90 sasa zinatoka na CC 1969 na 4 cylinders. Ila zinakuwa na horsepower ya 232 na 0-60 in 7.4 seconds. Hii ni diesel engine.
Kwa wastani mafuta ni kati ya 12-13 litres/km.
Petrol engines ndiyo utazipenda zaidi; 1969cc, 4 cylinder, 401 horsepower. Kuna hizi mpya Twin engine, T8 (hybrid).
Na sifa kubwa za Volvo ni safety na reliability.
XC90 lipo comfortable balaa barabarani. Ni nzuri kama una familia kubwa kwa kuwa ni 7 seater, na hadi siti za nyuma zipo comfortable.
Cheki review ya carwow ya XC90
Review ya twin engine t8
Na carwow comparative review ya 7 seaters: XC90, Q7 na Discovery ya 2018
Go for it. Sema mimi siyo mpenzi wa petrol engine. Napenda diesel engine inavyolia. Toka nimetumia XC90, sitaki gari nyingine kabisa. Labda siku nikiweza kununua RS6 tu.