Ni mahubusu wote wanaruhusiwa kula chakula kutoka makwao au ni Sabaya peke yake?

Ni mahubusu wote wanaruhusiwa kula chakula kutoka makwao au ni Sabaya peke yake?

Watachoka tu.... Vinginevyo ngoja afungwe akaanze kula ugali maharage kwa namba
 
Zile suit atazichoka mwenyewe muda bado sana safari ndefu atakuja sana hadi atachoka....mbwembwe zitaisha
 
Kimsingi inaruhusiwa kwa yeyote, unaamua toka mwanzo utapata mlo toka wapi!
 
Mahabusu wite wako huru kuletewa chakula hata miaka 7 au 100 wewe tu.....siku hizi wake za askari wamejiongeza nje pale unalipia menu unayotaka daily wana deliver gerezani ....simple simple ...kazi kwako
 
Mkuu usiangaike Sana mungu yupo, binafsi Sabaya nilisha mkabidhi mikononi bwana, awe gerezani au nje atashughulika nae mpaka kiama, na ilishakua ,iwe wazi tu malipo atayalipa Hapa duniani iwe mvua au jua ,mungu wangu yupo up to date sana
Alikufanyaje mkuu??maana kwahiyo nadhiri ni balaa

Sent from my SM-M115F using JamiiForums mobile app
 
sabaya akipitia baadhi ya nyuzi za jf na huko twigga,anacheka kwa dharau[emoji16][emoji16].

kama jana akiwa kwenye karandinga.
 
Back
Top Bottom