Ni mahubusu wote wanaruhusiwa kula chakula kutoka makwao au ni Sabaya peke yake?

Ni mahubusu wote wanaruhusiwa kula chakula kutoka makwao au ni Sabaya peke yake?

Alikufanyaje mkuu??maana kwahiyo nadhiri ni balaa

Sent from my SM-M115F using JamiiForums mobile app
Mkuu tunasema binadam tuko sawa mbele za bwana, so atendewalo yoyote ,Kama kulawiti,kubaka ,kufilisi, kuuwa direct au indirect ,lazima matendo tuyachukie bila kujali nani yamemkuta ilihali umemzuru binadam mwenzangu , SABAYA kayatenda yote KWA kivuli Cha ukuu wa WILAYA
 
Kesi yenyewe Haina ushahidi wa kutosha
 
Ndugu wa Sabaya pamoja na marafiki zake na watu wa chama wanajiwekea utaratibu wa kumhudumia mtuhumiwa aliyeko mahabusu kinyume kabisa na taratibu na tunaamini Kuna usawa? Aliyeruhusu mpishano wa misosi kutoka mtaani kwenda Kisongo ni nani?

Aliyeruhusu Sabaya asifungwe pingu toka gerezani hadi mahakamani ni Nani? Kwa Nini amekuwa akipewa treatment tofauti na wenzake? Wanahoji wananchi wanaopewa story za Sabaya na ndugu zake hapa Mahakama ya Arusha.

Minong'ono hii inanikumbusha wakati ule matajiri flani walipokamatwa na simu gereza moja huko DSM. Je, tumerejesha ubaguzi wa kiuchumi na kisiasa gerezani?
Mbona mahabusu kupelekewa misosi toka nyumbani ni kawaida tu na siyo kwamba imeanzaia kwa Sabaya lakini kwa chuki zako unaona kwamba mambo haya yameanzia kwa Sabaya. Na kwa taarifa yako ndani ya Magereza kuna VIP na Sabaya atakuwaanaishi room VIP na hilo sema sasa. Unajua kwa nini Mahabusu anafungwa pingu? Siku ya hukumu ya Sabaya mtaumbuka.
 
Akihukumiwa atawekwa kwenye ration tu
Atakula kwa amri atalala kwa amri na ataamka kwa amri
Dunia ya mungu hii wanasemae kaa na watu uvae viatu
 
Back
Top Bottom