Mimi mstaarabu
JF-Expert Member
- Dec 10, 2020
- 262
- 577
[emoji23][emoji23]umeua hapo line ya mwishoKwangu binafsi ni
Kuwapa familia yangu,mama baba n.k
Kula chips na nyama choma daah noma san hii na serengeti barid 4[emoji16]
Yaani napotoa pesa kwajili ya familia,hua naona furaha sana na mke na mtoto wanaponishukuru basi nafarijika sanaHallo Wakuu, Baridaaa!
Ni Mambo gani ambayo ukitumia pesa (money) yako.. nafsi yako (roho yako) hupatwa na furaha sana na amani ndani yake?
Binafsi;
1. Ninapo mpa pesa mke wangu, hunifanya kusikia furaha ya ndani sana moyoni mwangu na ninakuwa na amani.
2. Kujaza wese na kukimbia (napenda sana mbizo na kukimbia)
Haya mambo pindi nitumiapo pesa hufurahi sana ndani yangu... yaliyobaki yote huwa napata udhumi na roho kuumia sana
Intelligent businessman
mshamba_hachekwi
Dahan Bantu Lady, PhD. Penseli 4
Your my mateπKwangu mimi
1. Kutembelea wagonjwa hospitalini nikitoka hapo napata amani kubwa.
2. Kutoa kitu kwa ajili ya masikini bila kuombwa nayo napata amani sana.
ππKumpa Mama yangu hela asee najiona kama nipo hewani nafarijika sana
π€£πKuhonga mkuu, nikohonga najisikia kidume balaa...
Kulipia chumba cha 100k ili nikale mzigo...
Niliposoma kichwa cha habari tu nikamuwaza wife asee hakuna kitu napenda kama kumpa wife kibunda tena bila kuniomba wala nn. Kingine ni wanangu nafurahi sana ninapopiga kibunda nikarudi home na zawadi namna wanavyonipokea naona baraka juu yangu. Cha mwisho nikae sehemu ninunue kitimoto kilo ndizi mbili na coke ya baridiiii kama barafu hapo nikitoa hela yangu nafsi inakua na furaha ya ajabu sanaHallo Wakuu, Baridaaa!
Ni Mambo gani ambayo ukitumia pesa (money) yako.. nafsi yako (roho yako) hupatwa na furaha sana na amani ndani yake?
Binafsi;
1. Ninapo mpa pesa mke wangu, hunifanya kusikia furaha ya ndani sana moyoni mwangu na ninakuwa na amani.
2. Kujaza wese na kukimbia (napenda sana mbizo na kukimbia)
Haya mambo pindi nitumiapo pesa hufurahi sana ndani yangu... yaliyobaki yote huwa napata udhumi na roho kuumia sana
Intelligent businessman
mshamba_hachekwi
Dahan Bantu Lady, PhD. Penseli 4
Mimi ni kula tu chakula πHallo Wakuu, Baridaaa!

Umu kugumu jmn πMimi ni kula tu chakula π