Ni mambo gani ambayo ukifanya kwa kutumia pesa yako nafsi yako hupatwa na furaha sana na amani?

Ni mambo gani ambayo ukifanya kwa kutumia pesa yako nafsi yako hupatwa na furaha sana na amani?

Kumpa mama kiasi cha fedha
Kumnunulia mama zawadi
Kumnunulia mama nguo
Kumnunulia mama vitu mbali mbali
Kumpa mdogo wang kiasi cha pesa
Kuwatoa out mama na wadogo zangu
Kujinunulia vitu mi menyewe
 
Kwangu binafsi ni
Kuwapa familia yangu,mama baba n.k
Kula chips na nyama choma daah noma san hii na serengeti barid 4😁
 
Nikihakikisha mke, watoto na wazazi wangu wamekula, wameshiba, wakiumwa wamepata matibabu mazuri aisee nnapata raha sana. Lkn pia nikimsaidia mtu aliye na matatizo nnapata ka amani flani. Nikisafiri wakati wa kurejea nikanunua mazawadi kwa familia, wazazi na wakwe aaah najisikia swaafi. Na safar za ndani hapa, nikanunua mazagazaga ya familia nnakua na raha sana
Kiufupi uki save wapendwa wako unajisikia raha
 
Kwanza inaagizwa bucket ya castle lite,na Sinia la kitimoto,wakati nabonya naanza kupekuwa cm kutafuta wa kuwapunguzia,tukianza na Bi mkubwa.Hela Haina Maana kama hutumii na kutoa.
 
Hallo Wakuu, Baridaaa!

Ni Mambo gani ambayo ukitumia pesa (money) yako.. nafsi yako (roho yako) hupatwa na furaha sana na amani ndani yake?

Binafsi;
1. Ninapo mpa pesa mke wangu, hunifanya kusikia furaha ya ndani sana moyoni mwangu na ninakuwa na amani.
2. Kujaza wese na kukimbia (napenda sana mbizo na kukimbia)

Haya mambo pindi nitumiapo pesa hufurahi sana ndani yangu... yaliyobaki yote huwa napata udhumi na roho kuumia sana

Intelligent businessman
mshamba_hachekwi
Dahan Bantu Lady, PhD. Penseli 4
Yaani napotoa pesa kwajili ya familia,hua naona furaha sana na mke na mtoto wanaponishukuru basi nafarijika sana

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
1.Home pawe sawa--friji imejaa,kreti zimejaa,bills zimelipwa
2.Full tank-tairi zina kucha,gari haligongi na nina mahali pa kupotelea weekend.
3.Kumpa mtu support na afanikiwe
 
Hallo Wakuu, Baridaaa!

Ni Mambo gani ambayo ukitumia pesa (money) yako.. nafsi yako (roho yako) hupatwa na furaha sana na amani ndani yake?

Binafsi;
1. Ninapo mpa pesa mke wangu, hunifanya kusikia furaha ya ndani sana moyoni mwangu na ninakuwa na amani.
2. Kujaza wese na kukimbia (napenda sana mbizo na kukimbia)

Haya mambo pindi nitumiapo pesa hufurahi sana ndani yangu... yaliyobaki yote huwa napata udhumi na roho kuumia sana

Intelligent businessman
mshamba_hachekwi
Dahan Bantu Lady, PhD. Penseli 4
Niliposoma kichwa cha habari tu nikamuwaza wife asee hakuna kitu napenda kama kumpa wife kibunda tena bila kuniomba wala nn. Kingine ni wanangu nafurahi sana ninapopiga kibunda nikarudi home na zawadi namna wanavyonipokea naona baraka juu yangu. Cha mwisho nikae sehemu ninunue kitimoto kilo ndizi mbili na coke ya baridiiii kama barafu hapo nikitoa hela yangu nafsi inakua na furaha ya ajabu sana
 
Kufanya ubunifu kwenye makazi yangu!
Yani that place inanikula my fortune wallahi!
ILA RAHA SANA!
 
Hallo Wakuu, Baridaaa!

Ni Mambo gani ambayo ukitumia pesa (money) yako.. nafsi yako (roho yako) hupatwa na furaha sana na amani ndani yake?

Binafsi;
1. Ninapo mpa pesa mke wangu, hunifanya kusikia furaha ya ndani sana moyoni mwangu na ninakuwa na amani.
2. Kujaza wese na kukimbia (napenda sana mbizo na kukimbia)

Haya mambo pindi nitumiapo pesa hufurahi sana ndani yangu... yaliyobaki yote huwa napata udhumi na roho kuumia sana

Intelligent businessman
mshamba_hachekwi
Dahan Bantu Lady, PhD. Penseli 4
Mimi ni kula tu chakula 😋
 
Back
Top Bottom