Ni mambo gani ambayo ukifanya kwa kutumia pesa yako nafsi yako hupatwa na furaha sana na amani?

Ninapotoa pesa kwa ajili ya mabinti zangu huwa najisikia furaha sana. Huwa najihisi kama napaa vile....namuomba Mungu anibariki sana ili niendelew kufurahia kutoa kwa ajili yao.
Mama mzuri sana wewe. Mungu awatunze binti zako 😍
 
[emoji28][emoji28][emoji28] nao wanakukubali sana mtu wao wa mguvu
Aaah wapi mkuu,

Napenda long trips, napenda niweke mziki wangu wa gospel huku naenda zangu mkoa, sina haraka na mtu njiani...napenda sana

Napenda kujenga, napenda sana...yani if wishes were horses ningejenga kila ninapoweza, ningewekeza kila pesa yangu kwa nyumba, I like house designs.

Napenda sana watoto, yaani hata nikiwa job nikiwakumbuka madogo I smile, nataka nao wanipende sana coz all I do is for them.
 
moyo wa ki fatherhood huu mwaisaaa... ipo njema sanaa... long trip huwa unyamaa sanaa... kama nyuma wapo Antonnia na Bantu Lady huku mbakula mawimbo ya country yale ya hatariiiii... juuu umefungua paaa ( sonroof.. ) unyamaaa sana yaniiii
 
Asante chief Mungu atupe moyo wa upendeleo zaidi juu ya haya makundi ikitegemea na baraka za wazazi
Amen. Hakika na huu ndio upendo ambao Mungu anautaka.. upendo wa vitendo..safi sana mkuu.. Mungu atusadie tuwe waaminifu kwa baraka zake atupazo, tuzitumie vizuri
 
moyo wa ki fatherhood huu mwaisaaa... ipo njema sanaa... long trip huwa unyamaa sanaa... kama nyuma wapo Antonnia na Bantu Lady huku mbakula mawimbo ya country yale ya hatariiiii... juuu umefungua paaa ( sonroof.. ) unyamaaa sana yaniiii
🤣🤣🤣🤣mkuu nimeanza kuwa serious unarudi kutania. Wakae nyuma au mbele mkuu? Antonnia akae mbele ili nikinyoosha mkono na mini skirt yake tuone inakuwaje🤣🤣🤣🤣
 
🤣🤣🤣🤣mkuu nimeanza kuwa serious unarudi kutania. Wakae nyuma au mbele mkuu? Antonnia akae mbele ili nikinyoosha mkono na mini skirt yake tuone inakuwaje🤣🤣🤣🤣
😅😅😅... hayo ya min skirt...ni 🔥🔥🔥🔥 kikubwa uwe makini usielete ajari
Your browser is not able to play this audio.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…