National Anthem
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 19,177
- 56,121
- Thread starter
- #61
Mama mzuri sana wewe. Mungu awatunze binti zako 😍Ninapotoa pesa kwa ajili ya mabinti zangu huwa najisikia furaha sana. Huwa najihisi kama napaa vile....namuomba Mungu anibariki sana ili niendelew kufurahia kutoa kwa ajili yao.