Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
aaah... wapi dada la dada... nipo serious mie π π[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wewe najua utaleta masihara tu
usipende kukopa sasa π π πKulipa deni roho inauma sana
Sipendi kukopa ila kuna muda inabidiusipende kukopa sasa π π π
...........Naona comments za wengi mnakubaliana na MATENDO 20:35
Matendo Ya Mitume 20:35
Neno: Bibilia Takatifu
35 Katika kila jambo nimewaonyesha kwamba kwa kufanya kazi kwa bidii mtaweza kuwa saidia walio dhaifu, mkikumbuka maneno aliyosema Bwana Yesu kwamba, βKuna baraka kubwa zaidi katika kutoa kuliko kupokea.ββ
Daah man,hakuna kitu huwa kinaniuma moyo kama kupigiwa simu au kufuatwa na mtu ambaye namjua kabisa,namuaminia af aniambie ana shida nishindwe kumsaidia! Daah huwa inaniumiza sanaKusaidia kwangu ni burudani mnooo.
1. Kutoa sadaka au kusaidia yatima au wagonjwaHallo Wakuu, Baridaaa!
Ni Mambo gani ambayo ukitumia pesa (money) yako.. nafsi yako (roho yako) hupatwa na furaha sana na amani ndani yake...
π³...........
Sina neno parokπ³
hii imekaa powa sana mkuu1.Kutoa sadaka au kusaidia yatima au wagonjwa
2.Kuwapa wazazi wangu
3.Kuivest kwenye biashara
Au sio paroko kwenye moja na mbili πSina neno parok
π π π π madeni ni msala sana mkuuKulipa madeni nnayo daiwa. Nafurahia sana wakati huo
Ndio mkuuAu sio paroko kwenye moja na mbili π
Mtume Yohana kwenye 1 Yohana 4:20, 21 anasema ikiwa haumpendi mwanadamu unayemwona ukamsaidia utampendaje Mungu asiyeonekanaNdio mkuu
Sasa wewe sikuoniMtume Yohana kwenye 1 Yohana 4:20, 21 anasema kiwa haumpendi mwanadamu unayemwona ukamsaidia utampendaje Mungu asiyeonekana
Mimi ni dunia tu ilinisonga ila nilitamani sana niwe padre πMimi kusema ukweli naona nimefata moyo wa Marehemu Mama yangu. Kujitoa kwa wenye uhitaji, maana naweza kulia kabisa, nikiona mtu ana uhitaji na kakosa or ndiyo kapata. So ndiyo vitu napenda. By the way toka mdogo, nilipenda kuwa sister.