Ni mambo gani ambayo ukifanya kwa kutumia pesa yako nafsi yako hupatwa na furaha sana na amani?

Una jus mkuu, Nime toka katika familia flani hivi choka mbaya.
[emoji117]So naujua umasikini nje ndani, Nime uishi na kuuona pia.
[emoji117]Nina hasira na kitu kina itwa umasikini, so huwa najitahidi nipambane Kama so kwa ajili yangu, nyuma yangu Basi I we hata walio nizunguka.
Mungu akujalie mkuu. Big up sana
 
Nikiwatumiaga hela home hua napata amani Sana, pia ile mwisho wa mwaka tunapokutana wote home kununua vitu kama mchele, kununua mafuta ya kupikia ya kutosha & mfugo wa kuchinja hua naenjoy sana.

Kumsapoti demu wangu anapokwama au kupata changamoto zozote napomsaidia napata amani

Kwenda kupumzika sehemu tulivu mwenyewe! Nikae siku nzima na pc yangu naperuzi nakula nakunywa aiseee napata amani sana
 
Safi sana mkuu.. maisha ndio haya mkuu.. furaha ni muhimu sana.. endelea kutengeza ukuu mkuu.. Mungu asikupungukie
 
Back
Top Bottom