Romina
JF-Expert Member
- Jul 24, 2018
- 667
- 2,790
I claim it🙏Lazima uwe tajiri mzee
Ni mwaka wangu hata hivyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
I claim it🙏Lazima uwe tajiri mzee
moyo wa kifalme huu 🔥🔥1.Kutoa msaada 2.Kula msosi wa nguvu ninaoupenda
ni vyema mkuu na hii ndio sadaka safiHakika umenena.. neno jema.. namie najifunza kutoka kwenye mioyo mizuri kama yenu hapa
Mungu akujalie mkuu. Big up sanaUna jus mkuu, Nime toka katika familia flani hivi choka mbaya.
[emoji117]So naujua umasikini nje ndani, Nime uishi na kuuona pia.
[emoji117]Nina hasira na kitu kina itwa umasikini, so huwa najitahidi nipambane Kama so kwa ajili yangu, nyuma yangu Basi I we hata walio nizunguka.
Kheri ikawe kwetu sotee🙏💪, meza lazima ipinduke💪🤒Mungu akufanyie njia pasipo na njia mkuu.. una moyo mzuri sana mzee baba 😍
Hakika, imekuwa kama ulivyonenaa.. 🙏I claim it🙏
Ni mwaka wangu hata hivyo
Safi sana mkuuKumpa Mama yangu hela asee najiona kama nipo hewani nafarijika sana
Nakutenganisha na huyo pepo aisee.. 😬😬😬😬Kuhonga mkuu, nikohonga najisikia kidume balaa...
Kulipia chumba cha 100k ili nikale mzigo...
Hahah mkuu maisha yafaa nini bila kujiachiaNakutenganisha na huyo pepo aisee.. 😬😬😬😬
Kheri ikawe kwetu sotee🙏💪, meza lazima ipinduke.Mungu akujalie mkuu. Big up sana
Safi sana mkuu.. maisha ndio haya mkuu.. furaha ni muhimu sana.. endelea kutengeza ukuu mkuu.. Mungu asikupungukieNikiwatumiaga hela home hua napata amani Sana, pia ile mwisho wa mwaka tunapokutana wote home kununua vitu kama mchele, kununua mafuta ya kupikia ya kutosha & mfugo wa kuchinja hua naenjoy sana.
Kumsapoti demu wangu anapokwama au kupata changamoto zozote napomsaidia napata amani
Kwenda kupumzika sehemu tulivu mwenyewe! Nikae siku nzima na pc yangu naperuzi nakula nakunywa aiseee napata amani sana
😅😅😅 We nomaa sema maisha hayaki u seriousHahah mkuu maisha yafaa nini bila kujiachia
😁😁We jamaa haupo team kataa ndoa?
Nimeona umesema Una mke ...
Team kataa ndoa huyu sio member wenu?
Hapana mkuu, mie nina mke.We jamaa haupo team kataa ndoa?
Nimeona umesema Una mke ...
Team kataa ndoa huyu sio member wenu?