Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
Wanasema kupanga ni Kama kuichungulia kesho yako,
Nami Kama mwana harakati katika utafitaji nikajiwazia kuwa Kuna baadhi ya vitu au watu ni chanzo Cha kutuchelewesha au kuwa Kama vizingiti katika safari ya mafanikio.
Je, ni Mambo, vitu, au watu gani unahisi wanakuzuia au kukuchelewesha kuelekea safari yako ya kukamilisha Mambo yako.