Auz
JF-Expert Member
- Apr 6, 2016
- 13,539
- 11,419
Tz ina mfumo, kuanzia Katiba, usiojisimamia, nikimaanisha, hakuna utii wa sheria! Hali hii haimuachi yeyote awe salama, si katika uwekezaji wala uhakika wa maisha.Wanasema kupanga ni Kama kuichungulia kesho yako,
Nami Kama mwana harakati katika utafitaji nikajiwazia kuwa Kuna baadhi ya vitu au watu ni chanzo Cha kutuchelewesha au kuwa Kama vizingiti katika safari ya mafanikio.
Je, ni Mambo, vitu, au watu gani unahisi wanakuzuia au kukuchelewesha kuelekea safari yako ya kukamilisha Mambo yako.View attachment 2632588