Ni mambo gani yanakwamisha safari yako ya mafanikio?

Ni mambo gani yanakwamisha safari yako ya mafanikio?

Initial faults I mean ule umaskini wa mwanzo wa familia ndio barrier kubwa sana kwangu mimi
Mkuu tatizo sio kuzaliwa masikini, shida ni kufa masikini.
👉R.i.p mengi
👉Di Maria, alikuwa muuza mabati
👉Suarez, king cr7, pele
Pambana kijana
 
[emoji375][emoji375][emoji375][emoji375][emoji375][emoji375][emoji375][emoji375][emoji375][emoji375][emoji375][emoji375][emoji375][emoji375][emoji375][emoji375][emoji375][emoji375][emoji375][emoji375][emoji375][emoji375][emoji375][emoji375][emoji375]
Naomba connction hyo unisaidie nipate chochote kitu
 
Vitu ambavo vinafanya watu wengi wasione mafanikio, ziko nying sana ila kuna zile ambazo ni main

Ujinga, watu wengi wanaendekeza sana ujinga ndo maana hawaoni mafanikio yaani wao kazi kubwa ni kuwaza mambo ya kipuuzi yaani mtu anawaza ngono tu

Uchawi, hii nayo nimojawapo ya vitu vinavyo zuia mtu asifanikiwe, unajua watu wengi huwa wanaenda sana kwa waganga ili kupata mafanikio ila kwa ufupi tu pale hakuna mafanikio yyte unayopata zaidi tu ya kwenda kujiingiza kwenye uchawi.

Tamaa, hii ndiyo naweza sema ndo kubwa kuliko yte wanadamu wengi wanaingiwa sana na tamaa ndo maana huwa hawaoni mafanikio
 
Back
Top Bottom