Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
- Thread starter
- #41
Msumeno hulipwa kwa msumeno 💯, tujifunze kusamehe pia.Alichoongea ni kweli kabisa na inauma. Kuna mtu alinipiga tukio toka November mwaka Jana mpaka Sasa sijapona machungu na nimeahidi nikimpata atakuwa funzo na Kwa wengine.