Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
- Thread starter
- #61
Hakika bro, tunastahili mafanikio mkuu.Hakuna kinacho nizuia starehe yangu ni kunywa pepsi tu 1 baada ya siku mbili, siyo chalii wa madem wala vilevi ni suala la muda tu nataka niibadilishe historia kwa mapenzi ya Mungu