Tz ina mfumo, kuanzia Katiba, usiojisimamia, nikimaanisha, hakuna utii wa sheria! Hali hii haimuachi yeyote awe salama, si katika uwekezaji wala uhakika wa maisha.Wanasema kupanga ni Kama kuichungulia kesho yako,
Nami Kama mwana harakati katika utafitaji nikajiwazia kuwa Kuna baadhi ya vitu au watu ni chanzo Cha kutuchelewesha au kuwa Kama vizingiti katika safari ya mafanikio.
Je, ni Mambo, vitu, au watu gani unahisi wanakuzuia au kukuchelewesha kuelekea safari yako ya kukamilisha Mambo yako.View attachment 2632588
Ni kweli mkuu, ila mbona kina dewji, bakhresa, Salim wako salama🤔👉Tz ina mfumo, kuanzia Katiba, usiojisimamia, nikimaanisha, hakuna utii wa sheria! Hali hii haimuachi yeyote awe salama, si katika uwekezaji wala uhakika wa maisha.
Hao wanaotekwa? Unajua inawagharimu kiasi gani kuendesha biashara na kuwaridhisha wala rushwa?Ni kweli mkuu, ila mbona kina dewji, bakhresa, Salim wako salama[emoji848][emoji117]
Bhakresa au Salim nao walitekwa??, Watu Kama haonwanishi maisha safi. Tutafute pesaaHao wanaotekwa? Unajua inawagharimu kiasi gani kuendesha biashara na kuwaridhisha wala rushwa?
Lakini nimejibu kulingana na mahitaji ya swali lako.Mkuu tatizo sio kuzaliwa masikini, shida ni kufa masikini.
👉R.i.p mengi
👉Di Maria, alikuwa muuza mabati
👉Suarez, king cr7, pele
Pambana kijana
Tz ina sheria na katiba ya kisenge ndio maana inakuwa ngumu watu kuifata katiba hiyo ya ovyo.Tz ina mfumo, kuanzia Katiba, usiojisimamia, nikimaanisha, hakuna utii wa sheria! Hali hii haimuachi yeyote awe salama, si katika uwekezaji wala uhakika wa maisha.
Katiba mpya muhimu!Tz ina sheria na katiba ya kisenge ndio maana inakuwa ngumu watu kuifata katiba hiyo ya ovyo.