makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 31,583
- 92,670
Nashukuru kunipa moyo kaka,Hayo sio mapungufu brother, ni tabia ya mtu.
Alaf anakupenda huyo.
Pole sana mwanamke mchafu na mzembe ni tatizo kubwa sana kwa mume.1. Mvivu sana hata nyumba hafagii yote. N jioni na sebuleni tu. Nguo najifulia mwenyewe. Shuka mpaka uzitoe ndo kwa aibu atafua.
2. Mchafu.
Brother mtu anayekupenda atatamani muda wote awe na wewe, aongee na wewe na akuguse na wewe umguse, hata ukiwa mbali faraja yake ni kuongea na wewe either kwa barua au simu, huyo mwanamke anakupenda sana, hongera mwanang, hakikisha siku zingine unampigia sio lazima yeye akupigie wewe, atafurahi sana ukimpigia.Nashuk
Nashukuru kunipa moyo kaka,
Naamini ananipenda, ila kwangu ndio naona kero, akiwa mbali anaweza kuamka alfajiri anajiandaa basi urapigiwa simu, sasa wengine usimgizi mi starehe yetu kiukweli, nilikuwa natabia ya kuweka simu silent nikiwa nalala haswa mchana, ila ye akiwa mbali imebidi niache tu, maana alfajiri usipopokea simu itaonekana unapata morning glory sehemu 🤣😂
ni tabia yenu wote😀Najiona mimi kabisa. Hiyo ndio weakness yangu kubwa kukubali nimekosea ni mtihani. Naweza hamisha story lakini baba naye mtata hata ukihamisha story ataileta tu mpaka useme sorry
Yeah kuna ya kujifunza hapa!Uzi mzuri kabisa huh kwa wale wapenda familia
Najitahidi tahidi siku hizi...Brother mtu anayekupenda atatamani muda wote awe na wewe, aongee na wewe na akuguse na wewe umguse, hata ukiwa mbali faraja yake ni kuongea na wewe either kwa barua au simu, huyo mwanamke anakupenda sana, hongera mwanang, hakikisha siku zingine unampigia sio lazima yeye akupigie wewe, atafurahi sana ukimpigia.
Nilidhani hii tabia anayo wa kwangu tu!hii ni tabia universal kwa wanawake. Ni wachache sana wanaokiri makosa. Kosa umkosee yeye, litaongelewa mpaka yesu arudi. Akosee yeye sasa, kama hajakaa kimya basi atatafuta njia ageuze kosa lake liwe lako.
VIkimbana kabisa utaishia kuchekewa chekewa kinafiki ila kutamka neno nimekosa ni haramu kwao.