Au tunadate mutu mumoja na tulivyo wataalam wa kubebisha hapo namba 2 wanajinunisha ili wabembelezwe, zile za nakupenda kuliko wote ukiniacha nitakufa wanazipenda balaa,π1.Wivu baba cha wivuuu
2.Gubu jamani ili tu abembelezwe
3.Kudeka usiseme
4.Kulalamika
5.Simu upokee haraka kama umebeba kikombe cha chai kitupe upokee simu yake
Haya mapungufu machache sana nayamudu hana mambo mengi baba wa watu
Mi huwa siwezi kukibana kicheko muda mwingine nacheka tu πππ maana kuna vitu vinachekesha ujue ila kuna wanaume wanajua kupenda sana mpaka raha yaanHakikisha wakati wa kucheka asikuone, wivu ndo mapenzi ila hawa wetu wamezidi japokuwa mi nimezoea akianza kutweta kama mjusiππnamsikiliza halafu nampa maelezo kesi ikiisha,,natafuta kanafasi kakucheka, k iheshimiwe na watu wote
Kwakweli mwanaume wa hivyo kama hujapigwa matukio huko nyuma ndo waweza muona kero ila akuu tunaenjoy, wivu unaendana na uaminifu/mapenzi kwa kiasi fulani moyo unaridhika kuwa hapa napendwa na si ndo tunavyotaka wanawakeMi huwa siwezi kukibana kicheko muda mwingine nacheka tu πππ maana kuna vitu vinachekesha ujue ila kuna wanaume wanajua kupenda sana mpaka raha yaan
Wanapenda hadi unanogewa kwa uroda π₯΄π₯΄kuna wanaume wanajua kupenda sana mpaka raha yaan
Wanafanana tabia tu sio mmoja ππusinitoe roho mie,kuna siku alinichosha kulalamika na kunungβunika nikamvuta kichwa nikamuwekea nyonyo mdomoni anyonye Halaf nikawa nambembeleza kama mtoto huku namtikisa alale akalala ππππ last born kibokoooAu tunadate mutu mumoja na tulivyo wataalam wa kubebisha hapo namba 2 wanajinunisha ili wabembelezwe, zile za nakupenda kuliko wote ukiniacha nitakufa wanazipenda balaa,π
Sio wote, mi naomba msamaha hata mara 5 kwa siku na yenye kumaanisha sio ili yaishe, nyie wanaume ndo wagumu kuomba msamahaAu wewe ndio mshikaji wangu(............) nini. ππ€£
Kanilalamikia saana hii kitu mkewe hakubali kosa hata iweje.
Ni kweli kabisa mwanaume anakuwa muwazi kwa kila kitu hakuna siri siri mipango yote mnashirkiana kwa kila kitu,muda ukifika anakuja tu alie sahihi kwakoKwakweli mwanaume wa hivyo kama hujapigwa matukio huko nyuma ndo waweza muona kero ila akuu tunaenjoy, wivu unaendana na uaminifu/mapenzi kwa kiasi fulani moyo unaridhika kuwa hapa napendwa na si ndo tunavyotaka wanawake
Uroda muhimuWanapenda hadi unanogewa kwa uroda π₯΄π₯΄
Daaah watu wanafaidi jamani, natamani ningekuwa mimi na komwe langu hili nililorithi kwa mama mkwe.nikamuwekea nyonyo mdomoni anyonye Halaf nikawa nambembeleza kama mtoto huku namtikisa alale akalala ππππ last born kibokooo
Basi hapo alikatumia hako ka gap ili anyonyeshwe kila sikuππWanafanana tabia tu sio mmoja ππusinitoe roho mie,kuna siku alinichosha kulalamika na kunungβunika nikamvuta kichwa nikamuwekea nyonyo mdomoni anyonye Halaf nikawa nambembeleza kama mtoto huku namtikisa alale akalala ππππ last born kibokooo
ππππ wamama wanaharibu vijana kuwadekeza wakikua wanataka dekezwaDaaah watu wanafaidi jamani, natamani ningekuwa mimi na komwe langu hili nililorithi kwa mama mkwe.
Namnyonyesha tu sioni shida na napenda sana πππ kinachofatia aloooooBasi hapo alikatumia hako ka gap ili anyonyeshwe kila sikuππ
Huyu lazima atakuwa mfupi maana wafupi wabishi sana halafu Wana viburi kinomaUbishi yaani hata kitu si cha kubishanaππ
JamaniiiNamnyonyesha tu sioni shida na napenda sana πππ kinachofatia alooooo
5.Simu upokee haraka kama umebeba kikombe cha chai kitupe upokee simu yake1.Wivu baba cha wivuuu
2.Gubu jamani ili tu abembelezwe
3.Kudeka usiseme
4.Kulalamika
5.Simu upokee haraka kama umebeba kikombe cha chai kitupe upokee simu yake
Haya mapungufu machache sana nayamudu hana mambo mengi baba wa watu
π€£π€£π€£π€£ Wee jamaa utakuja kujinyonga kwenye mpapai π€£π€£π€£π€£Mapungufu yasiyoruhusiwa kwa mwanaume kuyavumilia ni,mke kuuza mechi.Mengine yote ni yale yanaitwa ya shida na raha.
Huyu lazima atakuwa mfupi maana wafupi wabishi sana halafu Wana viburi kinoma
Kabisa kwa ulimwengu huu kumpata mtu walau wa kukuonea wivu ni baraka aiseeNi kweli kabisa mwanaume anakuwa muwazi kwa kila kitu hakuna siri siri mipango yote mnashirkiana kwa kila kitu,muda ukifika anakuja tu alie sahihi kwako
Kifuatacho ni mbengo kufongokaππNamnyonyesha tu sioni shida na napenda sana πππ kinachofatia alooooo