Ni mara kumi unywe local beer kuliko hizi imported beer kama Savanna, Heineken, Windhoek n.k

Mi naona hata hizi local beer siku hizi ni formulas tu, nani ahangaike hivi sasa kukupikia ngano wakati chemicals zipo? utawekewa ngano robo halafu kinachobaki ni chemicals tu.

Hata hao wazalishaji wa ndani huko viwandani na wao ni wale wale tu, ni kama hizi juice za matunda kutoka viwandani, ni formulas mwanzo mwisho.

Watu hawaaminiki.
 
Umejieleza sana, sema unapenda local beer tu basi. Umeacha kutazama sinema unatazama tamthiliya. Yale yale health risks kwa alcohol iko pote local ama import haijalishi. Na local yetu ni import kwa nchi zingine ujue
Sawa TAGIRI
 
Nyote wapuuzi hakuna ugonjwa wenye unafuu hapo "muulize Mbunge bwege, au mbambucha"
Bora sukari mara elfu kuliko figo tumia akili utajua ...yani ukimwambia mtu yoyote achague figo au kisukari basi watu tungechagua kisukari bila ya kupepesa macho.... figo na cancer ni ngoma draw au figo inezidi kansa kido
 
Miaka kumi ijayo figo zitakuwa dili sana.
 
Uko sahihi ...Kwanza kuchakachua Serengeti ya Elfu 2 mpaka iwe Serengeti ni zaidi ya hiyo Elfu mbili..
 
kunywa ambazo hazina brandy i mean zenye umaarufu mkubwa hizo ngumu kuchakachua!,nani akachakachue pombe isiyo na brandy kubwa anajua hakuna soko!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…