Zinapatikana mkuu,ukitafuta fundi hasa welding ukampa idea yako anakutengenezea frem,unaenda kkoo gerezan unatengeneza mapanga yake nadhan yanakuaga matatu then unanunua na motor ya mtumba ya kawaida tuu,Naomba kujua mkuu zinapatikana wapi.
Kwa huku znz used unapata kwa 60k mtumbaView attachment 2254334
Inaitwa cordless au rechargeable drill machine
Upo mkoa gani?Me nikipata frige na brenda ya kutengenezea juice nahisi maisha yangu yatanyooka faster kuna sehemu nimeichungulia furusa buwa na wahitaji ni wengi, hata nikipata used kwa bei powa nitafurahi naamini baada ya mda mfupi hera yangu itarudi na faida juu
Mkuu unauza chakula cha kuku?Machine ya kutengeneza chakula cha kuku..ingekuwa poa sana,kwa biashara yangu.
Sent from my SM-M115F using JamiiForums mobile app
Hakuna bei kubwa kwenye mitambo kama MagariMama Angeweka unafuu Kwa watu wanaoimport machine as wana kuja kufanya uzalishaji na kodi itavunwa kwa muda mrefu [emoji119]
KigomaUpo mkoa gani?
Kashakwama tayari.Ukiweka gharama ya kusafirisha na kodi hapa nchini kupata mashine kama hii angalau uwe na kuanzia 5m
Mashine ya kulimia inaitwaje?Bongo miyeyusho, kuna mashine za kulimia, kule inauzwa haizidi milioni 2, ila mpaka kuifikisha hapa bongoland inagonga milioni 10 huko.
Hizi mbona zipo nyingi tu mzee, mkononi mpaka laki 2-3 unapata kutegemea na pampuPump ya kusukuma maji kutoka mtoni mpaka shambani nifanye kilimo cha umwagiliaji. Nipo karibu na mto.
Sent using Jamii Forums mobile app
Aina hiiNapitia nyuzi sioni wadau wanataja zile mashine za kujaza hewa matairi ya pikipiki, guta, bajaji,
Zinauzwa Bei gani zile!
Nahisi Kama nazo Ni mchongo bomba wa kijasiriamali
Mashine ya kusindika bangi.Kila mtu ana ndoto ya kuwa na mradi mkubwa wa biashara.
Lakini lazima tukubali ili ufike sehemu lazima uanzie somewhere.
Kwa wajasiriamali wengi huwa tunatamani ukipata mashine au kifaa fulani basi itakufungulia milango na kukusogeza sehemu kuzifikia ndogo zako.
Mimi moja ya mashine nayotamani kuimiliki ni ya kutengeneza bahasha au vifungashio vya karatasi.
Naamini soko lake sio la kutafuta na ukishaipata mashine production yake haiitaji nguvu kazi kubwa.
Mimi nikiipata hii mashine wateja wangu watakuwa corporate nitakuwa natengeneza bahasha za barua size kubwa mpaka ndogo kabisa na nikipata tenda nitakuwa naweka na logo ya kampuni husika.
Wateja wengine ni wafanyabiashara wadogo kwa ajili ya vifungashio.
Sijajua bongo kama zinatengenezwa ila nimeshahangaika sijazipata ila ukiangiza China zinaanzia bei mil 1.5 kwa ambazo sio express wala auto.
Tutajie mashine yako unayoitamani...
View attachment 2237802
Duh! endeleaga kutafuta mwanangu. Ingekuwa karibukaribu na Mbeya tungezungumza zaidi.Kigoma
Hatimaye nimefika mkuu, how i wish kuipata hiyo machine ngoja niendelee kujipanga. Ahsante@financial services njoo hapa usome
Hivi wakuu kuna machine ya kuvuna or kupiga piga mpunga baada ya kukatwa/kuvunwa? Inaweza kuwa sh ngapi? Natamani niipeleke kijijini kwetu, iwarahisishie kazi wakati pia nikipiga pesa
Thank you, let me visit the website/app
All the best.Thank you, let me visit the website/app