Ni mashine gani ambayo ukiipata itafungua njia zako za kibiashara?

Mwaka mmoja nishapata mashine 2 crdb....

Nmb sasa hiv awatoi mashine wanafanya mobile wakala unatumia simu nenda tena unapata kwa haraka....

Ukifatilia unapata
Hio ya CRDB unafanyeje ndugu??
 
Sawah Tuje kwenye wanunuzi, au soko na iyo machine life span yake ni mda gani..??
je katk iko kipindi pesa itakuwa imerudi..
 
Halafu kwenye malipo ya ada na mambo mengine yanayo hitaji kupatiwa risiti, wanafanyaje kupitia huo utaratibu wao mpya?
Ndo wameanza sasa, kuna changamoto kidogo, kwa vile watu wamezoea na risiti, lakin mtu akiandika slip ikipigwa muhuri ni sawa sawa tu.....
Lakini kiuhalisia changamoto mno
 
Nimefanya vyote bado kimya ndugu.
 
Mashine yenye uwezo wa kukatakata majani ya mchaichai sambamba na kukata tangawizi into very small pieces (like that of chips), aisee nitapata faraja sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…