Mkuu....Kwa Tabora Agricultural machineries Gani zinaweza kukutoa?
Nimeona fursa kwenye hii kwa mkoa ambao nipo na kijana wangu alikua akinielezea nikaona wazo lake sio mbaya, na inafaa sana kwenye kazi za metal fabrications, vupuri na mechanical modifications kwa ujumla.Uwekezaji mzuri huu kwa watu wa metal fabrication.
Nimeona fursa kwenye hii kwa mkoa ambao nipo na kijana wangu alikua akinielezea nikaona wazo lake sio mbaya, na inafaa sana kwenye kazi za metal fabrications, vupuri na mechanical modifications kwa ujumla.
FafanuaTafuta water pump au mashine ya kushindilia au pia compressor.
NB: Ukiwa nazo zote ni uhakika hukosi hata 500k per month katika nyakati mbaya. Kipindi kizuri unaeza kunja mpaka 2ml per month.
Ni heri utafute ya GasNaomba kujuzwa Bei ya mashine ya popcorn please, Ile inayotumia Solar.
Kuna changamoto yeyote kuwa na ya solar?..naomba kujua Bei yake please. Hasa kwa mkoa wa ArushaNi heri utafute ya Gas
Iko hivi.Kuna changamoto yeyote kuwa na ya solar?..naomba kujua Bei yake please. Hasa kwa mkoa wa Arusha
Hello. Mfano hizi machine unatakiwa kununua ukiwa karibu ya makazi gani? Au location itafaa Sana wapi?Tafuta water pump au mashine ya kushindilia au pia compressor.
NB: Ukiwa nazo zote ni uhakika hukosi hata 500k per month katika nyakati mbaya. Kipindi kizuri unaeza kunja mpaka 2ml per month.
Kununua mashine yeyote kwa ajili ya biashara inategemea na upembuzi uliofanya kwa eneo ulipo.Hello. Mfano hizi machine unatakiwa kununua ukiwa karibu ya makazi gani? Au location itafaa Sana wapi?
Inaitwa diagnostic mashine bei zake zinategemea ukubwa wake hata ambazo zimeishatumika zinauzwa kubwa kabisa milioni 7Inaitwaje na inauzwaje
Miss Gf ufafanuzi tafadhali hapo unaposema "Watu wanapenda urembo wa nyumba hawajengi kizamani"on progress, kwa sasa najifunza stencils yaani wall stencil,furniture stencil na craft stencil naona ina soko sana watu wanapenda urembo wa nyumba hawajengi kizamani
Chukua ya Gesi. Ifunge taa za solar piga kaziKuna changamoto yeyote kuwa na ya solar?..naomba kujua Bei yake please. Hasa kwa mkoa wa Arusha
Mkuu hii nimeipenda Hivi tent zinauzwaje mpya???Tenti zinakodishwa kwa elfu 50 - 80.
Na ndiyo wanavuruga kila uzi, mods wangekuwa makini wangekuwa wanafuta michango ya hovyo nadhani ndiyo tafsiri ya moderationUzi ni mzuri. Ila kuna baadhi ya wachangiaji wanaleta masihara eti.
Ifike wakati wachina watengeneze pikipiki zenye vizuizi vya kuzidisha abiria
on progress, kwa sasa najifunza stencils yaani wall stencil,furniture stencil na craft stencil naona ina soko sana watu wanapenda urembo wa nyumba hawajengi kizamani