Ushimen
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 40,828
- 99,523
Mkuu....Kwa Tabora Agricultural machineries Gani zinaweza kukutoa?
Naona kama swali lako limekua too general.
Ungejaribu kuspecify hata kwakuelezea lengo lako ili upate kushauriwa kwa epesi aina za machine zinayoweza kukufaa