Ni maswali gani unahisi hayajibiki duniani?

maswali yangu nimeyauliza waaay back in the thread,na ninayaelewa ndo mana nikauliza, ye badala ya kujibu anauliza tuuu,kwa kila mtu anamuuliza tuuuu,hatoi majibu,hehh,ndo stlye gani hiyo

unauhakika
 
fikra za nzi,hahhahahah,kati ya mi na wewe nani mwenye nazo,THINK TWICE UJIJUE,mada inasema' maswali yapi unahisi hayajibiki'...you must agree with me you have failed to give answers leading us back to the main THEME of this thread.......ts worldwide,it's known,tunasoma bible nk,wanasayansi washadevelop theories za kutosha kuhusu Mungu alipotokea but NO ANSWER IS CERTAIN,no body knows,so hayo maswali juu ya maswali unayoleta hapa yanamislead tu watu,...hadi aje aulizwe Mwenyezi Mungu mwenyewe ndo atatueleza
 
mf.Mungu ametokea wapi?
je wewe unamjua huyo unaeulizia katoka wapi?
na kama humjui unauliza nini?
kama unamjua unashindwaje kujua alipotoka

mi sijui,so anaejifanya kujua aseme exact location or something with supporting literature au atulie libaki swali kama lilivyo,
my point is sioni mantiki ya ye kuuliza maswali yote hayo on the thread
 
ukipata hayo majibu THEN WHAT?Tuanzie hapo
 
uhakika upiiiiiii?he can't even realize thread inataka unaswerable questions?yuko busy anajibu,tena kwa maswali juu,REALLY?

yes its real ,swali gani limekushinda nipe .
 
ukweli Kifo cha balali tuliyemuona ujulikane kwanza ndipo tuhojo kuhusu Mungu tusiyemuona
 
yes its real ,swali gani limekushinda nipe .

yamejaa thread nzima toka mwanzo,soma uyajibu, atleast constructively na sio kwa kuuliza maswali juu....
Au mfano؛‎:nini kinamtokea binadamu baada ya kufa?
 
then my thirst is quenched...on to the next one

What if you couldnt talk and see,what if the answers are false and they satisfy dont you think your quenching for a thirst is negative hence proving a world wrong
 
mi sijui,so anaejifanya kujua aseme exact location or something with supporting literature au atulie libaki swali kama lilivyo,
my point is sioni mantiki ya ye kuuliza maswali yote hayo on the thread

kama hujui usiulize swali juu ya kitu ambacho hukifahamu bora uulize hicho kitu ni nini
 
yamejaa thread nzima toka mwanzo,soma uyajibu, atleast constructively na sio kwa kuuliza maswali juu....
Au mfano؛‎:nini kinamtokea binadamu baada ya kufa?

hahaha badiebey we muoga i can see ,ok ni hivi after death we sleep ,kama unavyolala afu unashtukia tuu umefumbua macho,ule usingizi palekati ukiwa huna pumzi ndo kifo,tutafufuka na kuhukumiwa afu vita ya mwisho ya kiroho ,shetani hell ,wa mungu heaven
 
Last edited by a moderator:

atleast ur answering
 
Last edited by a moderator:
What if you couldnt talk and see,what if the answers are false and they satisfy dont you think your quenching for a thirst is negative hence proving a world wrong

a what if remais a what if,i can talk and see
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…