KIDOLEGUMBA
JF-Expert Member
- Apr 17, 2013
- 498
- 110
Hiyo dizaini ina roho ndani ?mfano 'seli'
Mabadiliko yote ya hapa duniani yanatokana na design ambayo Mungu ameunda. Kuanzia Hali ya Hewa, Viumbe nk , Ndo maana tunabaki na Maswali Mengi Kuhusu "Roho" na "Maisha baada ya Kifo" ambapo je tutakuwa kama tunavyoota usiku ?
I Mean cell ina ROHO?
Mimi kiukweli kabisa nikifikiria na nikafikiria kuwa nafikiria katika muda ule kuwa kweli kabisa nafikiria, napatwa na kizunguzungu cha fasta
mmh! cell ni kiumbe? au unataka kumaanisha nini?
Kama haijapotea imefanya/imefanywa nini?
Hivi matajiri na masikini walipenda wazaliwe hivyo??
Kwanini hakuna usawa wa kupata mahitaji muhimu kwa binadamu wote??
Kwanini binadamu tuna rangi tofauti??
mmi nimesema!!
1.siku yako ya kufa
2.MUNGU anaishi wapi?,
3.yesu atarudi lini kwa mara ya 2.
alafu ni nani aliekwambia mungu anabeba mawe?
Kuna sehemu ipo ! Ambapo watu hao hawawezi kutoa mawasiliano ! Na wanaoitafuta !
Mfano
1. Kuna nini kinaendelea baada ya kifo.?
2. Mwenyezi Mungu alitokea wapi?
vipi unahisi kufakufa auuu???
WE hutaki kujua baada ya kifo kunanini?
nakushanga!! sababu eti hujui ukifa unafanyaje... ukifa UNAZIKWA. sasa kufa uzikwe ndo utajua kinachofuatia huko mbeleni
Unauhakika gani ukifa utazikwa?na nani? nani kasema baada ya kifo kunakujua?
mliongachia hapa wengi wetu tuna hofu ya kifo,muda wako utafika na uta-experience hiyo hali