Ni maswali gani unahisi hayajibiki duniani?

Mkuu aliye andika habari kwamba kuna Mungu ni binadamu kama mimi na wewe
Na kwa bahati mbaya sana vitu vyote ambavyo binaadamu hana majibu navyo basi atatumia hilo kama ushahidi wa uwepo wa Mungu

Huyu Mungu muweza wa yote muumba mbigu na aridhi na vyote visivyooneka kwanini ni vigumu sana kumthibitisha bila blah blah za vifungu vya vitabu vya dini zetu?

Kwasababu ukimwambia mchina au mkorea Mungu yupo kwasababu ya Quran imesema atakushangaa maana toka dunia imeumbwa yeye anajua Mungu yupo kwenye nini sijui kwa mujibu wa imani yake
 
Wacha nikubaliane na wewe.
Achana na hivyo vifungu vya Qur an tujadili haya machache.
Naomba nikuulize
1.Jee ukitazama juu huoni mbingu ulishawahi jiuliza nani aliyefanya kazi hiyo?
2.Jee huoni ardhi ilivyotandazwa vyema kote duniani bila kasoro, nani mwenye kazi hiyo?
3.Mtazame binadamu toka tone la manii hadi alivyo sasa Je ulishawahi jiuliza nani mwenye kazi hiyo??
 

Bado tuko pale pale.......vitu vyote ambavyo binaadamu hana majibu navyo ndio atatumia kama ushahidi wa uwepo wa Mungu

Ina wezekana the so called God yupo
Lakini so far Hakuna proof yoyote ya uwepo wa Mungu zaidi ya blah blah miiiingi

Thibitisha uwepo wa Mungu
 
Mungu hashindwi chochote? Kama ndiyo; basi mungu anaweza kutengeneza jiwe kubwa ambalo hawezi kulibeba?
Positive na negative haziwezi kukaa pamoja kwenye tungo moja. ANAWEZA na HAWEZI hazikai pamoja ndugu. Aidha awe ANAWEZA ama awe HAWEZI. Nadhani tumeelewana
 
Hivi malaika au shetani wanaweza wakajiua?
Kujiua ni matatizo ya akili wao hawana matatizo ya akili.
Halafu ukijiua unakufa mwili roho inabaki na wao ni roho hawana mwili wa kuua, pia hawana uwezo wa kujiangamiza roho zao wenyewe au roho za mwingine mwenye uwezo wa kuangamiza roho ni messiah pekee.
 
alafu ukishazaliwa unaanza kutishwa ooh kuna jehanam oh kuna iki kuna kile...wtf kwa nn nisingeambiwa kabla ili niamue kama nikubali au niskubali kuzaliwa
Kibaya zaidi ni pale wazazi wanapotenda kama vile wanakudai kwa kuwa walikuzaa. Au utaskia watu wanakwambia " babako na mamako ndo wamekupa uhai unatakiwa uwashukuru" hii kauli ni overrated ukizingatia kuwa hukuwaomba wakuzae na kiufupi ni kuwa wao ndo walikutaka ila we hukuwataka at first place, huenda ungeambiwa uchague atakeukuzaa usingewachagua
 
jamii imekaririshwa vibaya sana yan et kwa kuwa n mzaz wako lazma umhudumie kwan mm nliomba kuletwa dunian?? yaan watu sjui kwa nn wanapenda kupelekeshwa na generalization!!
 
πŸ€”πŸ€” pia wadudu kama chawa wanafikaje au wanatoka wapi kwenye nguo chafu na angali yakua hawakuwepo mwanzoni
Hao wanakuwepo muda mrefu.sema wanakuwa wadogo sana kiasi kwamba hatuwaoni kwa macho ya kawaida...ila wakishapata makazi/hifadhi nzuri ndio wananenepa na kuwa wakubwa...nimewaza tu
 
Hao wanakuwepo muda mrefu.sema wanakuwa wadogo sana kiasi kwamba hatuwaoni kwa macho ya kawaida...ila wakishapata makazi/hifadhi nzuri ndio wananenepa na kuwa wakubwa...nimewaza tu
[emoji16][emoji16] umewaza kidog Kama mimi,, wakati nimeanza kusoma nikajua n proved kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…