Ni maswali gani unahisi hayajibiki duniani?

Mbona unauliza maswali yenye majibu kisayansi, mi nadhani tuhoji dogmas and conundrums kwa mfano baada ya kifo kuna maisha mengine, kwasababu pia kuna stori tunasikia kuna majini yana miaka zaidi ya 300 n.k
 
Hatuzungumzii nguvu za kupigana hapa ila kwa ujumla Mwanaume ni dhaifu kuliko mwanamke ila tu akapewa kuwa mtawala wa mwanamke
Emotionally mwanamke ni superior.
Lakini critical thinking anazidiwa.

So mwanamke anatawaliwa physically and critically lakini anatawala emotionally
 
Hapana si damu , ni mkusanyiko wa seli zinazotengeneza kitu kinaitwa sinoatrial node , hizo seli hai hujulikana kama pacemakers cells hizi ndiyo huwa zinazalisha kiwango fulaini ch umeme kinachofanya moyo udunde.
 
Yesu alipochukuliwa na roho nyikani ili ajaribiwe na ibilisi katika Mathayo 4:1 je Yesu alichukuliwa kwa nguvu, au kwa kubebembelezwa au alichukuliwa bila yeye kuwa na fahamu?
Nini uhusiano wa Roho aliyembeba Yesu mpaka kwa Ibilisi ili akajaribiwe?
 
Duh
 
Nini kitatokea endapo nchi flani labda ikakumbwa na janga kubwa litakalopelekea wananchi wake wote kuangamia kwa pamoja.je utaanzishwa utawala mwingine na jina lingine la nchi hiyo.. Hao watawala wapya watatokea wapi dunian??
 
Mkuuuu nimekuelewaaa balaaa
 
Nini kitatokea endapo nchi flani labda ikakumbwa na janga kubwa litakalopelekea wananchi wake wote kuangamia kwa pamoja.je utaanzishwa utawala mwingine na jina lingine la nchi hiyo.. Hao watawala wapya watatokea wapi dunian??
Kwani wananchi wa nchi hiyo ya kufikirika WOOOOTE wanaishi ndani ya nchi hiyo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…