Ni maswali gani unahisi hayajibiki duniani?

Sikukuu ya pasaka tunaadhimisha kufa na kufufuka kwa yesu.

Swali🙁Mathayo 26_1)ikawa yesu alipomaliza maneno hayo yoote akawaambia wanafunzi wake "mnajua Kama siku mbili hivi itakua pasaka"?

Je.kama pasaka ilikuepo kabla ya kufa kwa kristo mbona pasaka tunasherehekea kufa na kufufuka kwake?
 
Duh
 
hivi tunapoishi kwe hii dunia ndo watu pekee au kuna watu wengine kwe sayari zingine pia? ,mie huwa najiuliza hivi kweli tupo sisi tuu kwe hii hii dunia au kuna viumbe wengine tusio waona wanatuchora tuu?
Nasikia kuna alliens sijui
 
Hili linajibika mkuu!!
Radius ya dunia ni Km 6370 na earth ni elliptical sphere,hivyo volume yake inatafutika kirahisi tuu;unaweza kuzidisha na average density of the earth ukapata mass ya dunia!!!
Hujaeleweka
 
Ngoja tukufukie 6 feet..utapata majibu ya maswali yako..ALLAH AKUONGOZE.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…