Ni maswali gani unahisi hayajibiki duniani?

Maswali yako yote yanajibika
1. Hiyo inaitwa evolution some gene mutation imepelekea kutokea kwa wazungu from waafrika . Maana watu weusi ndio wakwanza
2. kusingekuwepo na dunia mfumo wa jua ungekuwa na sayari 8 na ungekuwa tofauto sana maana uwepo wa dunia unachochea gravity kwa mfumo wa jua pia
3. ni story ya uongo so hamna haja ya kupatia majibu
 
Yani mpaka sasa hivi unajiuliza swali lililojibiwa mwaka 1456 huko
 
1.What cause big bang to occur?

2.What initiate evolution.

3.what was there before big bang?and what cause that "there" to even exist on it's state before big bang?

4.How can evolution and big bang explain the difference that earth have compare to other planets although they pass through same processes after big bang.(I mean there is no sign of any planet excluding earth on our solar system or even our galaxy and beyond that supports life this is fact).

3.Until now the science of brain tells us that the brain have specific sections or parts that perfoms specific functions, but it was found recently that there are some people who lost 40% or even more of their brain either from accidents or even born that way and continue to live without any negative side effects how can you explain that?

Example of those peoples are carlos rodrigues, phineas gage and takalah tan.
 
Mimba yako ilitungwa lini? Nichangie kidogo, wakati shahawa ilipoungana na yai la mwanamke. Maisha yako yalianzia pale. Ukiulizwa umri wako inamaanisha kuanzia siku ulipozaliwa na sio wakati maisha yako yalipoanza. Niliulizwa maisha yako Yana mda gani? Jibu! Miaka 56 na miezi tisa.
 
Hapo Sasa..!!
 
Hivi ingekuaje kama wakati wa kujamiiana lile bao lingekuwa linatoa sauti kama ya mlio wa bunduki?!! Tungetembelea wakwe zetu kweli?!! Kwa jinsi watu wanavyongonoka kwa fujo kipindi hiki, miji ingekalika kwa kweli?!
😲😲
 
Namba1: Ukubwa wa eneo walilozaliana Rangi ni mabadiliko ya gene ambazo hurithishwa kupitia uzao.
Namba2: Jibu ni kungekuwepo HAKUNA. Namba3 tulipigwa changa la macho na waandishi wa biblia.
 
Namna ndege ya Malaysia MH 370 Ilivyopotea kwenye mazingira tata na majibu hadi sasa ni utata mtupu hasa ukizingatia Mataifa Makubwa yameitafuta sana bila mafanikio.
Ulimwengu huu una siri sana.
 
Milele maana yake nini?
Nikupe mfano wa milele?
chukua punje za mtama au ufuta au uwele uujaze kwenye huu uwazi uliopo wa dunia mpaka kwenye mbingu lkn uache sehemu ndogo tu ya kuingia ndege halafu huyo ndege aje kila baada ya miaka milioni 1 kuja kuchukua punje moja tu na kurudi tena kila baada ya miaka milion 1 mpk hizo punje ziishe ,je zitaisha baada ya miaka mingapi????
 
we jamaaa
 
as long as kuna siku hizo punje zitaisha maana yake ni finite,ili iwe milele inabidi iwe infinity
 
Nafikiri kila chenye mwanzo kina mwisho isipokuwa Muumba ndiye hana mwanzo wala mwisho. Kwa kuwa roho inaumbwa basi ina mwisho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…