Ni maswali gani unahisi hayajibiki duniani?

Alikujibu sawa ila kusema mpaka madini hapana, kikatiba Serikali/Rais ana mamlaka ya kubadili matumizi ya ardhi yoyote Ile ndani ya mipaka. So wewe utapewa tu fidia ila huwezi katalia kupisha at least kikatiba.

Ila nchi za kibepari unakuta mtu anamiliki kabisa so serikali lazma imbembeleze ndio awauzie.
 
Mkuu kwanini aliweka agano na Wana wa Israel ila baadae akaja kulitosa Kabila la Dani!! Unaweza kutusaidia Hili swali.

Na kama aliwatupa according to ufunuo 7 na 14 je anakua amekiuka agano?
 
Ndivyo unavyojidanganya shetani kaachwa kimkakati na kwa sababu, ni sawa na kusema majeshi ya UN kushindwa kumaliza waasi Congo ila wanaachwa tu kimkakati na kwa sababu za wakulu [emoji16] ila anytime wakiamua kuwafuta ni swala dogo sana
Mkakati upi? Mungu ana upendo, na Mungu ni mwema inakuwaje amuache shetani kimkakati?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…