Swali hapo ni moja tu
Na mimi linanitatiza sana
Je Mungu yupo kweli na kwa ushahidi upi?
Naaam Mungu yupo.
Na hii amesema mwenyewe M/Mungu katika Qur an
"Surely in the creation of the heavens and the earth and in the alternation of (Or: differences) the night and the daytime there are signs indeed for ones endowed with intellects." Qur an Surat al Imran aya 190(3:190)
"Hakika kuumbwa kwa mbingu na ardhi na kutofautiana kwa usiku na mchana ni dalili za uwepo wa Allah"
Enhee ebu twende sawa kwenye hiyo aya
Je ushawahi jiuliza ni kwa nini kuna nidhamu ya mpishano wa usiku na mchana tena bila nidhamu hiyo kuharibika ama kukosewa?? Bila shaka yupo mmiliki na anayesimamia nidhamu hiyo mkubwa tena asiyelala wala kuchoka.
Toka nje tazama juu angani utaona mbingu zilizosimama bila ya nguzo hata moja tena limetanda ulimwenguni wote.
Je umeshawahi jiuliza ni nani mjenzi mzuri hivi wa mbingu hizi tena mtandazaji mzuri pasipo na tobo wala nguzo akili yako haraka itakwambia bila shaka Fundi huyu ni yule fundi mkuu asiye na kasoro, tena mkubwa kuliko yoyote.
Tazama utaalamu uliotumika kutandaza ardhi na vitu kupita juu na chini yake jee huyu aliyefanya kazi hii atoshi kuwa ni yule mungu mkuu mjenzi wa viumbe wote!!??
Tazama uumbaji wa binadamu
Toka tone la manii hadi kuja kuwe mtu mzima kama ulivyo wewe.
Haitoshi tu kusema yule mwenye kazi hii tena aliyetukuka na kuwa na mwenye nguvu kuliko wote??
(Qur an 23:14) then We made the sperm-drop into a clot, then We made the clot into a lump of flesh, then We made the lump into bones, then We clothed the bones with flesh, and then We caused it to grow into another creation. Thus Most Blessed is Allah, the Best of all those that create."
Dalili ni nyingi sana sana sana za uwepo wa Yule aliyejuu Mfalme, Muumba mbingu na Ardhi Bwana wa watu wote.