nyampanaga
JF-Expert Member
- Nov 16, 2012
- 1,104
- 559
JF humharibia Sana Paskali kwenye teuzi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi kwa mfano unawezaje kuhamasisha wananchi unao waongoza wawe na tabia njema wakati wewe mwenyewe dhahiri shahiri una tabia mbaya. Eti unajitetea kwamba kama una tabia mbaya mapolisi/mahakama itakufunga hivyo wasikuhoji hilo! Emu jaribu kufikiri kwa mapana na si kimbinyio ( narrow ).Sorry nachoelewa ni kwamba CHADEMA,,,CCM,,,ACT au vyama vyote vya siasa vitapita lakini TANZANIA itabaki milele. Ivyo au ni kwamba Katiba mpya ni kwa manufaa ya chadema au nchi nzima.
Ni kama nchi nzima basi hayo madhaifu ya chadema hayana mantiki Katika Katiba mpya.
Chadema kuvunja Katiba yao tumuachie msajili wa vyama,,yeye ndio anapaswa achukue hatua.
Dotto anajielewa Sana....hana papara...huyu U DC unamfaa sanaUmenena vyema, Paschal wakati anauliza issue ya katiba pale ikulu alikuwa hajui kama katiba ya CHADEMA ina mapungufu? ukimtoa Dotto Buledu hakuna mwandishi mwingine Tanzania wengine wote ni wasaka tonge.
Mwenyekiti MBOWE amesema "ameshindwa kuwalipa mishahara wafanyakazi wa CHADEMA kwa muda wa miezi 6 mfululizo".3.Fafanua wafanyakazi hawalipwi au ulitaka kumaanisha vipi mkuu
Wampe tu hakuna namnaDotto anajielewa Sana....hana papara...huyu U DC unamfaa sana
Hamna kitu yule kisha kuwa popoNjaa itamuingiza Paschal kwenye uhalifu,namuomba mama ampe u DAS kabla hajaanza kazi yake ya awali
Ungefikiri wewe kwa mapana mana huo mfano wako haupo kwa uhalisia hapo tunazungumzia Katiba ambayo inaeleza kila kitu kifanyike.Hivi kwa mfano unawezaje kuhamasisha wananchi unao waongoza wawe na tabia njema wakati wewe mwenyewe dhahiri shahiri una tabia mbaya. Eti unajitetea kwamba kama una tabia mbaya mapolisi/mahakama itakufunga hivyo wasikuhoji hilo! Emu jaribu kufikiri kwa mapana na si kimbinyio ( narrow ).
Mkuu unajichanganya, kwenye maandishi yako, unadhamiria kuonyesha umuhimu wa Katiba mpya ya wananchiKatiba ni ya wananchi na hitaji la katiba mpya ni hitaji la wananchi, ila ili kuipata hiyo katiba mpya ni mchakato wa kujenga hoja zenye nguvu ya hoja na sio hoja za nguvu.
Chadema wameamua kutumia hoja za nguvu, kupiga kelele na kususa ili kushinikiza, down the drain, they will go...6ft under!.
P
Kwani bila uteuzi hawezi kuishi?Masikini Pasco,
Hivi mpaka leo hawajampa uteuzi??
Mfano mzuri ni suala la akina MdeeSasa kama hajasema Chadema wanavunja vipi Katiba yao unataka tujadili nini?
Unataka tujadili maneno ya Paskali bila hoja ya kusimamia, hujielewi.
Nilitegemea angelishtukia hili Kitambo.JF humharibia Sana Paskali kwenye teuzi
Krav Maga CHADEMA huwa haijibishani na watu bali hujibu chochote kwa mikakati endelevu...Kumjibu yoyote kwenye chochote ni kujitoa kwenye reli" Ili CHADEMA tuwaamini kuwa AGENDA yao ya Kudai Katiba Mpya ina Mashiko na wana Hoja ya Msingi hebu wao kama Chama waanze Kwanza kuonyesha kuwa wanaheshimu Katiba ndani ya Chama chao ambapo kuna uvunjifu mkubwa tu wa Katiba " Pascal Mayalla
Nukuu hii nimeitoa baada ya Kumsikia na Kumtizama jana Usiku Star Tv akiwa Mgeni rasmi kwa Dar es Salaam katika Kipindi kilichokuwa Kinasimamiwa na Mtozi Aloyce Nyanda.
Najua hapa JamiiForums kuna wana CHADEMA wengi tu na wale walio Neutral kama Mimi Krav Maga hivyo kwa pamoja ama tutaweza Kukubaliana nae au Kumpinga kwa Hoja.
Na wakati mnamjibu mwana CCM Pascal Mayalla kumbukeni kuwa huyu ni Msomi wa Fani nyingi nchini Tanzania za Habari na Sheria, Mjasiriamali mkubwa, Mjuaji wa Mambo mengi nchini Tanzania, Member Mkongwe JamiiForums, Mwanasiasa mwenye Mafanikio na Mtu mwenye Network kubwa sana ya Viongozi ( Watawala ) wa Tanzania hii na huenda hata katika Teuzi zijazo za DC au DED safari hii akawemo.
Huu uzi maandishi yake madogo sana,hayaonekani