Mkuu umeponaje?? please share
Yes, na niliwekewa ile.Wewe umewahi fanyiwa?
Lo! kidole kinakuwa cha moto ukikiweka kwenye maji ya baridi hayo maji huwa ya vuguvugu yaani.Kuna ugonjwa wa mdudu kidoleni unaitwa KIPYU PYU, Usiombe ukupate mkuu😅
Na tatizo lilianza baada ya kung'oa jino la gego. Nielekeze vizuri mkuu dawa ni nini?
Ni hatari halafu si salama
Kuna siku niliupaka halafu demu hakutokea, uume ulisimama hadi ukawa unaenda mbele kama vile unavutwa na mimi ndo nikawa naufuata kwa nyuma huku nimeupinda mgongo.Ni hatari halafu si salama
😀Kuna siku niliupaka halafu demu hakutokea, uume ulisimama hadi ukawa unaenda mbele kama vile unavutwa na mimi ndo nikawa naufuata kwa nyuma huku nimeupinda mgongo.
Sintosahau.
Aisee acha tuu 🤣🤣🤣🤣🤣JINO
Utatamani utolewe ata na mlinzi tu wa Hospital kikubwa mfanyakazi wa Hospital atoe ata bila ganzi.
JICHO
Liliwahi niuma nikasema hapa unaweza litoa ukaliweka mezani ukasema aya uma sasa.
😂😂😂😂Hivi mshawahi kuchinjwa shingo nyie na iss?
Yaani hii kitu imenitesa tangu nikiwa mdogo. Nimekula midawa mpk usioijua.Nakubaliana na maumivu yote ya hapo juu; bila kusahau maumivu ya mheshimiwa Constipation.
Acha kabisa maumivu yake. Bahati nzuri niliwekewa nikiwa sijitambui, nikawa najiuliza kama kuutoa tu ni hivi, wakati unawekwa huku una fahamu zako maumivu yake itakuwaje.Yes, na niliwekewa ile.
Wakati wa kutoa huwa wanapasua lile baloon kwa sindano, kisha mpira unavutwa toka kwenye kibofu kuja nje. Unapopita kwenye mrija wa mkojo unasikia kama mtu anapitisha chuma cha moto ndani ya mrija.
Dah 🥲Yes, na niliwekewa ile.
Wakati wa kutoa huwa wanapasua lile baloon kwa sindano, kisha mpira unavutwa toka kwenye kibofu kuja nje. Unapopita kwenye mrija wa mkojo unasikia kama mtu anapitisha chuma cha moto ndani ya mrija.
kumbe ile mrija unauma hivoAcha kabisa maumivu yake. Bahati nzuri niliwekewa nikiwa sijitambui, nikawa najiuliza kama kuutoa tu ni hivi, wakati unawekwa huku una fahamu zako maumivu yake itakuwaje.
Ndio mkuu, ila uzuri maumivu yake ni ya papo kwa hapo tu, utapiga ukunga wako mmoja mpira ukishatoka imeisha hiyo.Dah 🥲
kumbe ile mrija unauma hivo
1. Kuungua motoWakuu habari za humu ndani.
Hivi ni maumivu gani makali zaidi ya mwili wa binadamu ushawahi ku experience au uliona mtu anapitia ukaona kabisa ni maumivu makali kwa binadamu.
Kwangu mimi ni maumivu ya tumbo,kuna siku niliwahi changanya pilipili kichaa na vitunguu swaumu nikabrend then nikanywa aisee maumivu niliyoyapata sitakuja kusahau.Niliona Israel huyu hapa kaja kunisalimia.Tumbo linauma asikuambie mtu.
Je ni ni maumivu gani makali zaidi ya mwili?
Mmhh. Mkuu hio kitu acha tu. Yalinikuta. Ni miaka mingi sasa lkn mpk Leo nahadithia.Kuna ugonjwa wa mdudu kidoleni unaitwa KIPYU PYU, Usiombe ukupate mkuu😅
Ha ha ha.....Ile kitu acha kabisa,ikifika usiku wa manane usngz ndo unanoga, kidogle kinaanza kuuma,aisee hulali mpk kunakucha😊😁Mmhh. Mkuu hio kitu acha tu. Yalinikuta. Ni miaka mingi sasa lkn mpk Leo nahadithia.
Halafu kuna siku wakati naumwa nimepanda daladala kuna mtu akanikanyaga, ni vile sijui matusi tu lkn ningekuwa nayajua ile siku ningemtukana 😆