Ni maumivu gani makali zaidi ya mwili?

Ni maumivu gani makali zaidi ya mwili?

Ule mpira wa sembo , sitausahau wakati nafanya makaratee uwanjani lilipigwa shuti kali likatandika balls za muumba aiseh kifo hakina huruma.

Pia ulisha wai kidaka mpira kwa Mikono mitupu wakati wa penati ukikutana shuti Kali kama la drogba utajua hujui
 
Wewe umewahi fanyiwa?
Yes, na niliwekewa ile.

Wakati wa kutoa huwa wanapasua lile baloon kwa sindano, kisha mpira unavutwa toka kwenye kibofu kuja nje. Unapopita kwenye mrija wa mkojo unasikia kama mtu anapitisha chuma cha moto ndani ya mrija.
 
Kuna ugonjwa wa mdudu kidoleni unaitwa KIPYU PYU, Usiombe ukupate mkuu😅
Lo! kidole kinakuwa cha moto ukikiweka kwenye maji ya baridi hayo maji huwa ya vuguvugu yaani.
Halafu maumivu yake ni mtindo wa mapigo ya moyo, ni paap paap!

Nimewahi teseka aisee
 
JINO

Utatamani utolewe ata na mlinzi tu wa Hospital kikubwa mfanyakazi wa Hospital atoe ata bila ganzi.

JICHO

Liliwahi niuma nikasema hapa unaweza litoa ukaliweka mezani ukasema aya uma sasa.
Aisee acha tuu 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Yes, na niliwekewa ile.

Wakati wa kutoa huwa wanapasua lile baloon kwa sindano, kisha mpira unavutwa toka kwenye kibofu kuja nje. Unapopita kwenye mrija wa mkojo unasikia kama mtu anapitisha chuma cha moto ndani ya mrija.
Acha kabisa maumivu yake. Bahati nzuri niliwekewa nikiwa sijitambui, nikawa najiuliza kama kuutoa tu ni hivi, wakati unawekwa huku una fahamu zako maumivu yake itakuwaje.
 
Dah 🥲
Acha kabisa maumivu yake. Bahati nzuri niliwekewa nikiwa sijitambui, nikawa najiuliza kama kuutoa tu ni hivi, wakati unawekwa huku una fahamu zako maumivu yake itakuwaje.
kumbe ile mrija unauma hivo
 
Wakuu habari za humu ndani.
Hivi ni maumivu gani makali zaidi ya mwili wa binadamu ushawahi ku experience au uliona mtu anapitia ukaona kabisa ni maumivu makali kwa binadamu.

Kwangu mimi ni maumivu ya tumbo,kuna siku niliwahi changanya pilipili kichaa na vitunguu swaumu nikabrend then nikanywa aisee maumivu niliyoyapata sitakuja kusahau.Niliona Israel huyu hapa kaja kunisalimia.Tumbo linauma asikuambie mtu.

Je ni ni maumivu gani makali zaidi ya mwili?
1. Kuungua moto
 
Ushawahi panda daladala halafu unashuka unakuta simu haipo mfukoni?
 
Kuna ugonjwa wa mdudu kidoleni unaitwa KIPYU PYU, Usiombe ukupate mkuu😅
Mmhh. Mkuu hio kitu acha tu. Yalinikuta. Ni miaka mingi sasa lkn mpk Leo nahadithia.
Halafu kuna siku wakati naumwa nimepanda daladala kuna mtu akanikanyaga, ni vile sijui matusi tu lkn ningekuwa nayajua ile siku ningemtukana 😆
 
Ha ha ha.....Ile kitu acha kabisa,ikifika usiku wa manane usngz ndo unanoga, kidogle kinaanza kuuma,aisee hulali mpk kunakucha😊😁
 
Back
Top Bottom