Ni maumivu gani makali zaidi ya mwili?

Ni maumivu gani makali zaidi ya mwili?

Wewe constipation imewahi kunidhalilisha mimi kwa watu, sina hamu. Yaani nilihisi kuwehuka
Kwa mara ya kwanza nimeenda US kwa mwenyeji wangu, kwanza picha linaanza wiki nzima sipati choo , halafu tunakula vyakula vikavu tu , changanya na uoga wa mazingira wiki iliyofuati chooni sasašŸ¤£šŸ¤£šŸ¤£šŸ˜…
 
Na inapenda kutudhalilisha ugenini. Yaani hapo hata kukaa, inabidi ukalie kiuno na mgongo
 
Constipation ni msala ,unaweza jikaza weeee na maumivu ya hatari ila unashangaa ni vitu tu vimekaa kimtindo kama vya mbuzišŸ¤”
Acha tu; yaani kuna siku nimeshinda chooni siku nzima. Nilitamani waniwekee tu na kitanda humohumo japo kulikuwa hakukaliki wala kulalika
 
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png

Poleee aunt, hukwenda kwa mtaalamu?
Huwa linatulia halisikiag dawa šŸ˜‚šŸ˜‚
Rafikiyangu alishtuka akaenda kakazangu jirani wakaja mbiombio wakanikuta n
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Poleee aunt, hukwenda kwa mtaalamu?
Halisikii dawa na linaumaga mara mbili au 3 Kwa mwak sio Kila mwez ila ndo likikushika ni kutambaa kwanza šŸ˜€šŸ˜€
 
Kuna lile chango wanapita linaumaga hata usipokuwa Mp Yani šŸ˜‚šŸ˜‚šŸ˜‚nilikuwa natambaa tu šŸ˜‚šŸ˜‚ na kulala nimebinua Tako juušŸ˜‚šŸ˜‚šŸ˜‚ majirani walicheka badae nilivopona
zaa hiyo hali ikuishe kama huna mchumba mimi nipo nina mbegu nzuri sana utapenda toto litakalotoka smart and šŸ¤“
 
Mgonjwa cancer ya tezidume anaposhindwa kukojoa anapowekewa ule mpira wa mkojo. Aisee usiombe kuona, ule mrija(catheter) una urefu zaidi ya futi moja, unene kama kalamu ya speedo unapenyezwa kwenye tundu la mboo hadi ufike kwenye kibofu cha mkojo. Narudia kusema usiombe kushuhudia ama yakukute.
kumbe mimi nilieng'atwa dudu nina afadhari!!!..ā˜¹ļø
 
Binafsi mimi mtu ambae nilimshuhudia akipitia maumivu.

Huyu dada alikuwa hospitali akiumwa saratani ya titi,

Titi lake lilikuwa limeoza kwa upande wa kwapa huku.
Huyu dada dawa ya kuzuia maumivu ilikuwa ikiisha nguvu alikuwa analia sana.
Alikuwa anaumia sana.
Inasikitisha sana.
Kama umeenda Ocean Road Cancer Institute kumuangalia mgonjwa kuna wale waliofikia stage ya mwisho wanapigwa morphine tu kuwapunguzia maumivu, inasikitisha sana.
 
Macho aisee .Mpaka ule msemo wa 'Afya yako ndio mtaji wako niliuona una maana'.Hela nilikuwa naziona kama mavi tu,mama bae alikuwa anakarangiza mapocho pocho lakini nilikuwa nahisi kama nakula tambala la deki tu.Macho yalikuwa yanauma mpaka yanakuwa yamoto.
Madaktari wapewe mishahara minono sana.Ntaandika barua ya pongezi kwa hospitali iliyonihudumia na nitawa CC mkurugenzi wa halmashauri mpaka mama Samia.
Oiii.
Kuna siku nataka kusafiri kesho yake.. jicho from no where jamani likaanza kuuma..wee liliniumaaa jamanii liliumaaa nikaanza kulia ndo sasa nikahisi linaanguka..mpk saa 10 alfajiri nilishakata tamaa sisafiri tena moyo unaumaa..nilishaomba mpk basi...hatimae likapoa ila sijui ilikua ni nini mpk leo sijawahi pata ile hali

Tumbo nalo uwiiii kuna siku niliamka saa nne tumbo kama utani..likaanza jamani lile tumboo...sijui ni nini nilikua nasikia moyo unapigia hapo kwny mbavu....siharishi sitapiki...yani nahisi kufaa natambaa jasho linatoka...mwili wote...nikasema sasa nipige simu nitafia ndani...lakini kabla sijapiga simu nikasema ninywe maji..sijui ndo ilikua dawa ilee...likapungua kuuma mpk kupoa..

Maumivu ya kujifungua ni hatari sanaaa...sema huwa tunavikwa ujasiri na Mungu...

#Hakuna kitu kwny mwili wa binadamu ambacho hakiumi...##
 
Wakuu habari za humu ndani.
Hivi ni maumivu gani makali zaidi ya mwili wa binadamu ushawahi ku experience au uliona mtu anapitia ukaona kabisa ni maumivu makali kwa binadamu.

Kwangu mimi ni maumivu ya tumbo,kuna siku niliwahi changanya pilipili kichaa na vitunguu swaumu nikabrend then nikanywa aisee maumivu niliyoyapata sitakuja kusahau.Niliona Israel huyu hapa kaja kunisalimia.Tumbo linauma asikuambie mtu.

Je ni ni maumivu gani makali zaidi ya mwili?
Maumivu ya skikio sijawai exprience vile yanauma balaa
 
Kuna siku nataka kusafiri kesho yake.. jicho from no where jamani likaanza kuuma..wee liliniumaaa jamanii liliumaaa nikaanza kulia ndo sasa nikahisi linaanguka..mpk saa 10 alfajiri nilishakata tamaa sisafiri tena moyo unaumaa..nilishaomba mpk basi...hatimae likapoa ila sijui ilikua ni nini mpk leo sijawahi pata ile hali

Tumbo nalo uwiiii kuna siku niliamka saa nne tumbo kama utani..likaanza jamani lile tumboo...sijui ni nini nilikua nasikia moyo unapigia hapo kwny mbavu....siharishi sitapiki...yani nahisi kufaa natambaa jasho linatoka...mwili wote...nikasema sasa nipige simu nitafia ndani...lakini kabla sijapiga simu nikasema ninywe maji..sijui ndo ilikua dawa ilee...likapungua kuuma mpk kupoa..

Maumivu ya kujifungua ni hatari sanaaa...sema huwa tunavikwa ujasiri na Mungu...

#Hakuna kitu kwny mwili wa binadamu ambacho hakiumi...##
Poleee sana.Mimi yalikuwa yote mawili sijui ningekuwa pekeyangu tu ingekuwaje .Ilifikia hatua nikawa nashikwa kupelekwa njee.Macho muhimu sana aisee.
 
Back
Top Bottom