Ni maumivu gani makali zaidi ya mwili?

Anaewekewa anapitia maumivu?
 
Wakati mwingine unaumwa,labda homa, halafu unalala,na usingizi unashindwa kuleta forgetfulness of the disease ,unateseka even in your sleep.
 
Hii nzuri mkuu nimechukua
 
Miaka ya 2000 nilichoma sindano inaitwa cristapen cjui km ndo inavoandikwa... Yale maumivu ya ile sindano mpaka leo sijawahi kuelewa
 
Why ulikunywa huo mchanganyiko?
 
Kuna lile chango wanapita linaumaga hata usipokuwa Mp Yani πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚nilikuwa natambaa tu πŸ˜‚πŸ˜‚ na kulala nimebinua Tako juuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ majirani walicheka badae nilivopona
Samahani,hilo chango ulipona kwa dawa gan?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…