DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Nawaombea wote wanaopitia hizo Mungu awaguse ✊🏿✊🏿
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Changanya na zako mkuu ukiambiwa utakuja unguza main😂😂 kama ulikuwepo mkuu..Kuna mtu humu jf alinijaza upepo kuwa inaongeza nguvu za kiume afu jana yake nilipiga mzinga mdogo we tumbo lilikata mixer kutoka jasho jingi nilitapika sana.
Mwingine naeBinafsi mimi mtu ambae nilimshuhudia akipitia maumivu.
Huyu dada alikuwa hospitali akiumwa saratani ya titi,
Titi lake lilikuwa limeoza kwa upande wa kwapa huku.
Huyu dada dawa ya kuzuia maumivu ilikuwa ikiisha nguvu alikuwa analia sana.
Alikuwa anaumia sana.
Inasikitisha sana.
Asante 🙏🙏🙏Pole na hongera kwa ustahimilivu na moyo wa kuuguza.
Mgonjwa cancer ya tezidume anaposhindwa kukojoa anapowekewa ule mpira wa mkojo. Aisee usiombe kuona, ule mrija(catheter) una urefu zaidi ya futi moja, unene kama kalamu ya speedo unapenyezwa kwenye tundu la mboo hadi ufike kwenye kibofu cha mkojo. Narudia kusema usiombe kushuhudia ama yakukute.
Anaewekewa anapitia maumivu?
Mkuu acha kabisa. ule mpira unapakwa lubricunt(KY Jelly) lakini mtu anajinyea hapo hapo.
Hizi Catheter nilimshuhudia dogo alikua anauguzwa wakati wa kukojoa ni Maumivu anavuta mashuka. Dr akasema kwa pembeni siku hizi zipo modified ila kuzitoa mpk watu wanyooshe mkono kidogo imagine.😔 Tukajiongeza akabadilishiwa . Sijui Maumivu yake ila kwajinsi inavyoonekana mmmh zile za kiume za zamani ni hatariAise 😳. Na vipi sindano za ganzi, haziruhusiwi?
Hizi Catheter nilimshuhudia dogo alikua anauguzwa wakati wa kukojoa ni Maumivu anavuta mashuka. Dr akasema kwa pembeni siku hizi zipo modified ila kuzitoa mpk watu wanyooshe mkono kidogo imagine.
maumivu makali mawili yanayoongoza kwa mwili wa mwanadamu niWakuu habari za humu ndani.
Hivi ni maumivu gani makali zaidi ya mwili wa binadamu ushawahi ku experience au uliona mtu anapitia ukaona kabisa ni maumivu makali kwa binadamu.
Kwangu mimi ni maumivu ya tumbo,kuna siku niliwahi changanya pilipili kichaa na vitunguu swaumu nikabrend then nikanywa aisee maumivu niliyoyapata sitakuja kusahau.Niliona Israel huyu hapa kaja kunisalimia.Tumbo linauma asikuambie mtu.
Je ni ni maumivu gani makali zaidi ya mwili?
pole sana nduguIlinikaza nikiwa naogelea baharini kosa brother ilikuwa kwaheri
niliponea muhimbili moi kuna daktari aliniandikiaga neurobin na nat b mkuu na dawa zingine nimesahauMkuu umeponaje?? please share
Ndo mana wahenga wakasema sikio la kufa....halisikii dawaaSikio linauma hadi Kila kitu unakiona kibaya, sikio ni hatari daaah!
Vpi alipona mpendwa wetu au ndo alitutangulia...Binafsi mimi mtu ambae nilimshuhudia akipitia maumivu.
Huyu dada alikuwa hospitali akiumwa saratani ya titi,
Titi lake lilikuwa limeoza kwa upande wa kwapa huku.
Huyu dada dawa ya kuzuia maumivu ilikuwa ikiisha nguvu alikuwa analia sana.
Alikuwa anaumia sana.
Inasikitisha sana.
Halafu huwa linapiga usiku. Kama hauna dawa ya kupooza maumivu mziki wake ni balaaJINO
Utatamani utolewe ata na mlinzi tu wa Hospital kikubwa mfanyakazi wa Hospital atoe ata bila ganzi.
Unayajua maumbivu na kende..? Aisee yasikieni tuYaani yale ni maumivu ya ajabu kuwahi kuwepo kwenye Dunia.
😂 mkuu pumbu itengwe kwenye hii madaKidole cha mwisho kujikwaa nime experience maumivu yake,makali, vidonda tumbo nna experience,sikio Sina experience Wala jicho...ila mpaka sasa sijaona maumivu makali...makali...kama kujigionga pumbu...uuuw!!au zipu ibane ngozi yake😳🙌🙌🙌🙌