Ni maumivu gani makali zaidi ya mwili?

Ni maumivu gani makali zaidi ya mwili?

😂😂 kama ulikuwepo mkuu..Kuna mtu humu jf alinijaza upepo kuwa inaongeza nguvu za kiume afu jana yake nilipiga mzinga mdogo we tumbo lilikata mixer kutoka jasho jingi nilitapika sana.
Changanya na zako mkuu ukiambiwa utakuja unguza main
 
Binafsi mimi mtu ambae nilimshuhudia akipitia maumivu.

Huyu dada alikuwa hospitali akiumwa saratani ya titi,

Titi lake lilikuwa limeoza kwa upande wa kwapa huku.
Huyu dada dawa ya kuzuia maumivu ilikuwa ikiisha nguvu alikuwa analia sana.
Alikuwa anaumia sana.
Inasikitisha sana.
Mwingine nae
Alipata complication baada ya kujifungua.
Ikaonekana analikuwa na tatizo la moyo,

Huyu siku kadhaa kabla ya umauti, alikuwa analalamika maumivu ya kichwa, anapewa dawa za kutuliza lakini bado.
Analia kama mtoto.
 
Mgonjwa cancer ya tezidume anaposhindwa kukojoa anapowekewa ule mpira wa mkojo. Aisee usiombe kuona, ule mrija(catheter) una urefu zaidi ya futi moja, unene kama kalamu ya speedo unapenyezwa kwenye tundu la mboo hadi ufike kwenye kibofu cha mkojo. Narudia kusema usiombe kushuhudia ama yakukute.

Anaewekewa anapitia maumivu?

Mkuu acha kabisa. ule mpira unapakwa lubricunt(KY Jelly) lakini mtu anajinyea hapo hapo.

Aise 😳. Na vipi sindano za ganzi, haziruhusiwi?
Hizi Catheter nilimshuhudia dogo alikua anauguzwa wakati wa kukojoa ni Maumivu anavuta mashuka. Dr akasema kwa pembeni siku hizi zipo modified ila kuzitoa mpk watu wanyooshe mkono kidogo imagine.😔 Tukajiongeza akabadilishiwa . Sijui Maumivu yake ila kwajinsi inavyoonekana mmmh zile za kiume za zamani ni hatari
 
Hizi Catheter nilimshuhudia dogo alikua anauguzwa wakati wa kukojoa ni Maumivu anavuta mashuka. Dr akasema kwa pembeni siku hizi zipo modified ila kuzitoa mpk watu wanyooshe mkono kidogo imagine.
 
Kidole cha mwisho kujikwaa nime experience maumivu yake,makali, vidonda tumbo nna experience,sikio Sina experience Wala jicho...ila mpaka sasa sijaona maumivu makali...makali...kama kujigionga pumbu...uuuw!!au zipu ibane ngozi yake😳🙌🙌🙌🙌
 
Wakuu habari za humu ndani.
Hivi ni maumivu gani makali zaidi ya mwili wa binadamu ushawahi ku experience au uliona mtu anapitia ukaona kabisa ni maumivu makali kwa binadamu.

Kwangu mimi ni maumivu ya tumbo,kuna siku niliwahi changanya pilipili kichaa na vitunguu swaumu nikabrend then nikanywa aisee maumivu niliyoyapata sitakuja kusahau.Niliona Israel huyu hapa kaja kunisalimia.Tumbo linauma asikuambie mtu.

Je ni ni maumivu gani makali zaidi ya mwili?
maumivu makali mawili yanayoongoza kwa mwili wa mwanadamu ni
1-kujifungua
2-kuungua moto
 
Binafsi mimi mtu ambae nilimshuhudia akipitia maumivu.

Huyu dada alikuwa hospitali akiumwa saratani ya titi,

Titi lake lilikuwa limeoza kwa upande wa kwapa huku.
Huyu dada dawa ya kuzuia maumivu ilikuwa ikiisha nguvu alikuwa analia sana.
Alikuwa anaumia sana.
Inasikitisha sana.
Vpi alipona mpendwa wetu au ndo alitutangulia...
 
nimeumwa jino, sikio, tumbo,.......nadiriki kusema bado maumivu yake hayafikii kwenye haya,....

1)-kupasuliwa korodani (nimeshuhudia kwa macho yangu , jamaa akipasuliwa)
2)-kuungua moto (from experience)
3)-kuvunjika mfupa....(nimeuguza mgonjwa)

nadiriki kusema hayo maumivu omba yakupitie mbali kabisa,....
 
Kidole cha mwisho kujikwaa nime experience maumivu yake,makali, vidonda tumbo nna experience,sikio Sina experience Wala jicho...ila mpaka sasa sijaona maumivu makali...makali...kama kujigionga pumbu...uuuw!!au zipu ibane ngozi yake😳🙌🙌🙌🙌
😂 mkuu pumbu itengwe kwenye hii mada
 
Back
Top Bottom