Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anaewekewa anapitia maumivu?Mgonjwa cancer ya tezidume anaposhindwa kukojoa anapowekewa ule mpira wa mkojo. Aisee usiombe kuona, ule mrija(catheter) una urefu zaidi ya futi moja, unene kama kalamu ya speedo unapenyezwa kwenye tundu la mboo hadi ufike kwenye kibofu cha mkojo. Narudia kusema usiombe kushuhudia ama yakukute.
Mkuu acha kabisa. ule mpira unapakwa lubricunt(KY Jelly) lakini mtu anajinyea hapo hapo.Anaewekewa anapitia maumivu?
Aise 😳. Na vipi sindano za ganzi, haziruhusiwi?Mkuu acha kabisa. ule mpira unapakwa lubricunt(KY Jelly) lakini mtu anajinyea hapo hapo.
KawaidaPole na likizo ya uzazi vipi ulizaaje?
Kawaida ndio ikojeKawaida
😂😂 kama ulikuwepo mkuu..Kuna mtu humu jf alinijaza upepo kuwa inaongeza nguvu za kiume afu jana yake nilipiga mzinga mdogo we tumbo lilikata mixer kutoka jasho jingi nilitapika sana.Inatibu nini mkuu. Usikute ulikunywa kwa ajili ya shoo nzito🤣🤣😂
Hii nzuri mkuu nimechukuaChukua pilipili kichaa zilizokomaa vyema ziponde / twanga kwenye kinu kisha loweka kwenye mafuta ya taa halafu weka juani kwa muda wa lisaa. Chovya kitambaa kwenye huo mchanganyiko halafu pangusa kwa namna ya kupakaa kwenye eneo linalouma (paji la uso) kisha kaa sehemu yenye utulivu kwa masaa walau manne kabla hujaenda kuosha uso wako.
Binti yangu alisumbuka sana na kadhia hiyo ,katika kuhangaika nikaelekezwa tiba hiyo ,asante Mola ilisaidia na hakuwahi kuumwa tena.
NB: kuwa makini mchanganyiko wako usiingie machoni wakati wa kupakaa
Ndio inaumaKumbe kujifungua kunauma hivyo
Why ulikunywa huo mchanganyiko?Wakuu habari za humu ndani.
Hivi ni maumivu gani makali zaidi ya mwili wa binadamu ushawahi ku experience au uliona mtu anapitia ukaona kabisa ni maumivu makali kwa binadamu.
Kwangu mimi ni maumivu ya tumbo,kuna siku niliwahi changanya pilipili kichaa na vitunguu swaumu nikabrend then nikanywa aisee maumivu niliyoyapata sitakuja kusahau.Niliona Israel huyu hapa kaja kunisalimia.Tumbo linauma asikuambie mtu.
Je ni ni maumivu gani makali zaidi ya mwili?
Samahani,hilo chango ulipona kwa dawa gan?Kuna lile chango wanapita linaumaga hata usipokuwa Mp Yani 😂😂😂nilikuwa natambaa tu 😂😂 na kulala nimebinua Tako juu😂😂😂 majirani walicheka badae nilivopona
Mkuu umeponaje?? please shareMisuli ya mwili kukaza ila now nimepona ni hatari sana