Ni maumivu gani makali zaidi ya mwili?

πŸ˜‚πŸ˜‚ kama ulikuwepo mkuu..Kuna mtu humu jf alinijaza upepo kuwa inaongeza nguvu za kiume afu jana yake nilipiga mzinga mdogo we tumbo lilikata mixer kutoka jasho jingi nilitapika sana.
Changanya na zako mkuu ukiambiwa utakuja unguza main
 
Mwingine nae
Alipata complication baada ya kujifungua.
Ikaonekana analikuwa na tatizo la moyo,

Huyu siku kadhaa kabla ya umauti, alikuwa analalamika maumivu ya kichwa, anapewa dawa za kutuliza lakini bado.
Analia kama mtoto.
 

Anaewekewa anapitia maumivu?

Mkuu acha kabisa. ule mpira unapakwa lubricunt(KY Jelly) lakini mtu anajinyea hapo hapo.

Aise 😳. Na vipi sindano za ganzi, haziruhusiwi?
Hizi Catheter nilimshuhudia dogo alikua anauguzwa wakati wa kukojoa ni Maumivu anavuta mashuka. Dr akasema kwa pembeni siku hizi zipo modified ila kuzitoa mpk watu wanyooshe mkono kidogo imagine.πŸ˜” Tukajiongeza akabadilishiwa . Sijui Maumivu yake ila kwajinsi inavyoonekana mmmh zile za kiume za zamani ni hatari
 
Hizi Catheter nilimshuhudia dogo alikua anauguzwa wakati wa kukojoa ni Maumivu anavuta mashuka. Dr akasema kwa pembeni siku hizi zipo modified ila kuzitoa mpk watu wanyooshe mkono kidogo imagine.
 
Kidole cha mwisho kujikwaa nime experience maumivu yake,makali, vidonda tumbo nna experience,sikio Sina experience Wala jicho...ila mpaka sasa sijaona maumivu makali...makali...kama kujigionga pumbu...uuuw!!au zipu ibane ngozi yakeπŸ˜³πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ
 
maumivu makali mawili yanayoongoza kwa mwili wa mwanadamu ni
1-kujifungua
2-kuungua moto
 
Vpi alipona mpendwa wetu au ndo alitutangulia...
 
nimeumwa jino, sikio, tumbo,.......nadiriki kusema bado maumivu yake hayafikii kwenye haya,....

1)-kupasuliwa korodani (nimeshuhudia kwa macho yangu , jamaa akipasuliwa)
2)-kuungua moto (from experience)
3)-kuvunjika mfupa....(nimeuguza mgonjwa)

nadiriki kusema hayo maumivu omba yakupitie mbali kabisa,....
 
πŸ˜‚ mkuu pumbu itengwe kwenye hii mada
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…