Ni member gani JF humpendi ama unamchukia, ila sio kwa ubaya?

Powder 🍺
 
Namchukiya jamaa wa [emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]

Nalog of z[emoji118]
 
No ujinga me hata sitakagi just Nani kaanzisha thread Sina nachokumbuka kuhusu yoyote humu hi maswala mtu anauliza swali utasikia Kuna jinga linamention watu kadhaa kwamba wenyewe ndo ma genius na wenyewe wanakuja kifua wazi sipendi sana
 
Wala haina haja ya kutangaziana wakati kitufe Cha block kipo,, wanaonikera wote wapo ignore list yangu na wala sishtuki najisikia vizuri mno,
Kweli kuishi ni kuona mengi!! kuumbe kuna watu weusi humu mnachukia hata AVATAR?? isiyosema. isiyo pumua??? kuumbe nimejua ndo maana siasa ya ujamaa ilishindwa!!

Mie kabisaaa siangaliagi ni nani kaandika hapa!! mie nasomga thread tyuuu!! basi!! nikifoka nafoka lkn hapo hapo nikikutana na thread yako nyingine umeandika vizuri umenifurahisha nakupa Big up!

ila nikiangaliaa saana Avatar imenivutia hasa wadada wenzangu wengi ni wastaraabu sana!........ila inatokeaga kubishana na me sana mpaka wanashindwa kujitambua guts zangu ni za kiume!
 
Mh huu ujumbe Ni wangu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…