Ni michezo gani ya hatari uliwahi kufanya ili utoboe kimaisha?

Scare money don't make money
 
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Nimeandika mara nne nikafuta. Ngoja nikae kimya tu mambo yasiwe mengi nikaja kupewa Economic case. Ila itoshe tu kusema uhaba wa maji Dar Es Salaam ulikuwa FURSA kubwa sana kwangu miaka ya 2011-2013.
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… Daah huu uzi ndio nauona leo πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Biashara ilishindikana aisee!
 
Nakukumbuka kipindi hicho ulikuwa unakaa Kili-mnjr kutoka bank flan hivi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…