Ni mimi peke yangu? Nilikuwa na marafiki wa nguvu lakini kadri navyozidi kuwa mtu mzima nauona urafiki sio kitu cha kukipa sana uzito

Ni mimi peke yangu? Nilikuwa na marafiki wa nguvu lakini kadri navyozidi kuwa mtu mzima nauona urafiki sio kitu cha kukipa sana uzito

gearbox

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2024
Posts
563
Reaction score
1,768
Maisha yangu kwa muda mrefu nimekuwa nikiwa mdau wa kupenda sana ku hang na marafiki, nilipofika kwenye 25 nikaanza ku hang zaidi na small circle ya marafiki watano tu ambao tupo karibu sana

Kwa sasa nina 36, nimeanza kuona hata hao wachache wa karibu ni kweli tunajuliana hali, kutembeleana, tunajuzana fursa, kusaidiana kwenye matatizo, n.k. lakini kwa sasa najikuta nimepunguza, sio kama zamani.
 
Back
Top Bottom