Nurain
JF-Expert Member
- Apr 28, 2022
- 2,403
- 5,315
AiseeeeKweli kabisaa Mkuu mimi nahisigi huyu jamaa ni Trans-gender au Ambiguous Genitalia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AiseeeeKweli kabisaa Mkuu mimi nahisigi huyu jamaa ni Trans-gender au Ambiguous Genitalia.
Ukumbini ndio mpango mzima, uwanjani hamna replay, kule labda uende kujaza uwanjaRatiba yangu ya Kesho Jumapili iko 'tight' sana kwani Asubuhi nitakuwa na some laundry fulani hivi ( ya Kimtindo ) na kama Malaika wataniambia niwahi ibada ya Kwanza kisha Saa 4 hadi Saa 7 Mchana kuna Kidemu fulani ( kimenitesa sana ila kimejaa katika 18 yangu ) nataka nikakipige 'hat trick' kabla ya Moses Phiri kupiga yake kwa Mkapa Saa 11 na Saa 10 nitakuwa ama Uwanjani au katika Ukumbi Mmoja kuiangalia 'Mbungi' ya Yanga SC na Simba SC pale Estadio Du Mkapa.
Tall mnyama..Nilichogundua kupitia haya malalamiko yako; Wewe ni kajitu fulani hivi anti social na kasiko penda kuchangamana na watu! Ni kajitu fulani hivi kenye wivu kupindukia! Sijui mke wako amemsifia jirani yako mnaye sali naye Jumuiya kuwa ni hendsam kuliko wewe, roho ikakuuma!!
Unaishi katika mazingira machafu, nyumba ya hali ya chini kuliko wana jumuiya wenzako, hivyo unajishtukia wana jumuiya wenzako wakija kusali kwako, utaonekana wewe ni mtu wa hali ya chini.
Pia unaonekana ni kajitu fulani hivi kafupi na kabishi ka kila kitu! Unaishi maisha ya kuunga unga, hata kama wewe ni genius uliyesoma SAUT! Maana unalalamikia michango ya elfu 5 tu ya kulitegemeza Kanisa la Mungu! Huku ukiombwa elfu 50 na mchepuko, unatuma na ya kutolea!
Mwisho kabisa unaonekana una itikadi za kiukawa ukawa! Halafu unashangilia timu mbovu ya simba, ambayo kila siku ni kuwalalamikia tu wachezaji, kocha Matola, na CEO Barbara! Hivyo akili yako imevurugwa kiasi cha kuhamishia malalamiko yako Jumuiyani.
Ushauri; hujalazimishwa kwenda kusali kwenye Jumuiya. Na hata usipozikwa kwa kuombewa, who cares!!
Hawa jamaa ni wabishi wa kila kitu. Unahitaji kuwa na moyo sana kuishi/kufanya nao shughuli yoyote ile.Tall mnyama..
Kwani wafupi wamekukosea nini?🤣🤣🤣
Kwa hiyo tukusaidiaje?1. Jumuiya kumekuwa ni sehemu za Majungu.
2. Jumuiya imekuwa ni sehemu za Kuchunguzana Kimaisha.
3. Jumuiya imekuwa ni sehemu ya Masutano.
4. Jumuiya imekuwa ni sehemu ya Wanaume Kutongoza na Wanawake kutafuta wa Kuwachapa Nao ( Kuwabandua )
5. Jumuiya imekuwa ni sehemu ya Kutishana kuwa kama hauhudhurii basi Ukifa ( Ukifariki ) Kanisa Katoliki halitokuombea ukiwa Jenezani Kwako.
6. Jumuiya imekuwa ni sehemu ya kila Siku kuja na Michango isiyo na Kichwa wala Miguu.
7. Jumuiya imekuwa ni Gulio Kuu la kila aina ya Unafiki unaoujua na usioujua hapa duniani.
Halafu Wewe Mwenyekiti, Katibu na Mweka Hazina wa Jumuiya yangu hivi mnavyonitishia kuwa kama nisipohudhuria Jumuiya Nikifa hamtoniombea mmeshazungumza na Baba Mungu na akawaambieni kuwa ataanza Kunitanguliza Mimi Kaburini kabla yenu? Wapuuzi wakubwa nyie.
Je, mnavyong'ang'ania Kutoniombea GENTAMYCINE pale Nikifa je, ile Siku ninazaliwa mlikuja Agha Khan Hospital mbele ya Sister Brendah na Sister Aghata waliohakikisha Nazaliwa vyema na salama Kuniombea? Wapuuzi wakubwa nyie.
Na nani aliyewadanganyeni kuwa Imani ya Ukatoliki inapimwa kwa Kuja Kwake ( Kuhudhuria ) katika Jumuiya za Kikatoliki kila Jumamosi kama ya hii leo?
Nilichoamua tu na najua hata Mwenyezi Mungu ananibariki nacho ni kwamba nitajitahidi Kuhudhuria Ibada zote za kila Jumapili ( hasa Misa yangu pendwa ya Kwanza ) na kutoa Sadaka na Michango ya Kikanisa kama tu nitakuwa Nimebarikiwa na Uchumi kwa wakati huo na kama sina najua hata Mola / Maulana nae atajua na hatonichukia au kuwa na Usununu ( Kinyongo ) nami.
Nawatakieni nyote Jumuiya njema!!!!
1. Jumuiya kumekuwa ni sehemu za Majungu.

Asikutishe mtu! Hakuna mwenye mbingu wala jehanamu ya kukupeleeka!! Neno la Mungu likikuweka huru unakuwa huru kweli kweli!! Kwa sisi wahangaikaji jumamosi ni siku ya uzalishaji!! Fanya kazi zako, shiriki shughuli za kijamii, usimuumize mtu!! Achana na hizo mahakama watu walizoziunda ili kunyanyasa wenzao!!Nimecheka mno. Naona umeamua kunipiga Dongo Kiana. Haya bhana ila Jumuiya zenu sihudhurii ng'o na Mbinguni kwa Mungu Baba nitafika tu.
Afu wanadai eti michango ni ya Mungu? Hawa ni wafanyabishara kama wengine tu! Afadhali Hela yangu ya sadaka nimpe yatima au mlemavu barabarani sio haya mambo ya kanisani....kanisani ilipaswa kusiwe na sadaka kabisa.Michango imekuwa mingi sana Kanisa Katoliki..
Mbaya zaidi ukikaa karibu na hao makuhani unaweza acha kutoa kabisa..
Kuna sadaka ya kawaida ya jumuiya
Kuna tegemeza jimbo
Kuna tegemeza parokia
Kuna mavuno
Kuna zaka
Kuna mchango wa ujenzi
Kuna mchango wa UWAKA/ WAWATA
kuna mchango wa gari la paroko
Michango ni bandika bandua
Umetumia kigezo gani kuyaita mawazo yake Ujinga? Au ni hofu zako za kiimani na kidini?.... Amri za kanisa ziliwekwa na nani? Amri za kanisa zibaki kanisani... Uraiani kila mtu na sheria na amri zake wala si kupangiana amri na sheria..kila mtu na sheria zake na maamuzi yake..BAHATI MBAYA HAKUNA NAMNA!
AMRI ZA KANISA LAKO ZINASEMAJE EBU TUTAJIE tuchambue kutoka kwenye mkataba wako na kanisa ambazo ni AMRI ZA KANISA!
Kingine nikushauri jifunze kupuuzia maneno! Wakati mwingi maneno huwa hayana maana kwa anayeyapuuza!
Waaache wachunguze wewe sali na imani yako jali maisha yako! Kama unalala chini pouw tu kwani nini, kama ni fukara si ni fukara tu kwani uongo! Ujue wakati mwingine kujikubali na hali yako ni tiba!
Wewe ni masikini halafu unataka watu wakuone tajili kweli?
Mimi nilihamia kwangu ikiwa pagala yaani juu HAKUNA kenchi wala bati, na niliona poa tu amani tele na watu walifurahi sana kuja kwangu kuliko kwingine, vikao vingi vya jumuiya walipendekeza wakutanie kwangu wakati palikuwa pagala tupu, palikuwa pa kimaskini sana!
Kila baada ya sala waliomba Mungu anijalie nikamilishe ujenzi! BAADAE NEEMA Ilikuja pagala langu ndiyo miongoni mwa ghorofa na nyumba bora mtaani!
Ushauri wangu! KUJISTUKIA NI UGONJWA WA AKILI MBAYA SANA! Waache waseme, watakuteta watatu au wanne lakini kumi watakuombea mafanikio! ViMANENO HAVIEPUKIKI NDUGU NDO JAMII YETU JIKUBALI
Uzuri jumuiya wakigundua maisha magumu hata michango utachanga KWA uwezo wako mpndwa!
1. Jikubali nyumba ya Kobe ni mgongo wake.
2. Masengenyo iwe motisha tambua kesho INA heli na nawe
3. Michango ya jumuiya haimfungi mtu jela toa KWA Moyo kadri ya uwezo
4. Fuata AMRI za kanisa lako maana ndiyo mkataba wa ushirika wako
5. Amini HAKUNA faida yoyote hata wakikusifia haiongezi kitu kwenye akaunti yako utabakia ni wewe ulivyo
6. Sali KWA imani yako
7. Shiriki kwa kuimarisha umoja
8. Hakuna asiyesemwa! Hata yesu walimchunguza kwao kuna zizi la ng'ombe wewe nani usichunguzwe ndugu!
SALI BHANA HAYO MENGINE NI KUTAFTA KUJIHALALISHIA UJINGA! ACHANA NAYO TAZAMA USO WA MUNGU! YA WANADAMU HAYAISHI
Ila huladhimishwi kutoa yote japo kutoa hata kidogo kuliko kuacha kabisa na uwezo unao.Michango imekuwa mingi sana Kanisa Katoliki..
Mbaya zaidi ukikaa karibu na hao makuhani unaweza acha kutoa kabisa..
Kuna sadaka ya kawaida ya jumuiya
Kuna tegemeza jimbo
Kuna tegemeza parokia
Kuna mavuno
Kuna zaka
Kuna mchango wa ujenzi
Kuna mchango wa UWAKA/ WAWATA
kuna mchango wa gari la paroko
Michango ni bandika bandua
sawa,hiyo ni jumuiya yako mkuu. Umechukua hatua gani kusaidia hili ?Tatizo halikimbiwi na inawezekana wewe ndiye wa kusaidia kuirudisha jumuiya kwenye mstari wa unyoofu.1. Jumuiya kumekuwa ni sehemu za Majungu.