Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kifungo cha akiliDini ni kifungo kibaya sana kuliko hata gereza.
Astagh firullahi mkurubie Mungu wakoTuko wengi, ulichoandika kina ukweli 100% , nina miaka 3 sasa cjaenda huko jumuiya na sitaki waje kwangu
Kuna ULAZIMA gani na upi kuzikwa na ibada? Ina maana hiyo ibada itasaidia nini? Itafuta dhambi zako? Ibada ni Hofu za kidini na kiimani tu! Ukisha kufa umekufa hakuna anaye jua huko uliko nini kina endelea.Kama ungekua una akili japo chembe usingeweza kubeza umuhimu wa ibada za jumuia ndogondogo.
Watu wanasema tu ila mimi nimeshuhudia mtu akizikwa na serikali ya mtaa. Hata walokole hawakujihusha nae.
Asikuambie mtu inauma sana kuona ndugu yako anazikwa kama mzoga wa mbwa aliyegongwa barabarani
ukiwa na hela hata kama una wake wawil utakuja kuzikwa na askofu, rejea mzee wa ngurdoto/impala/naura hotelsTafuta hela ,ukiwa na hela hukosi wa kukuzika watajaa hata wasiokujua ,wapenda kula mtaani watajaa kwenye mahema.Huo ni utaratibu was duniani Mungu hausiki nao
Si kweli.Kumbuka yule bilionea wa Impala Arusha alikataliwa kuzikwa pamoja na utajiri wakeukiwa na hela hata kama una wake wawil utakuja kuzikwa na askofu, rejea mzee wa ngurdoto/impala/naura hotels
Tafuta pesa acha kujilizaliza mambo madogo sana hayo.Michango imekuwa mingi sana Kanisa Katoliki..
Mbaya zaidi ukikaa karibu na hao makuhani unaweza acha kutoa kabisa..
Kuna sadaka ya kawaida ya jumuiya
Kuna tegemeza jimbo
Kuna tegemeza parokia
Kuna mavuno
Kuna zaka
Kuna mchango wa ujenzi
Kuna mchango wa UWAKA/ WAWATA
kuna mchango wa gari la paroko
Michango ni bandika bandua
Si kweli.Kumbuka yule bilionea wa Impala Arusha alikataliwa kuzikwa pamoja na utajiri wakeTafuta hela ,ukiwa na hela hukosi wa kukuzika watajaa hata wasiokujua ,wapenda kula mtaani watajaa kwenye mahema.Huo ni utaratibu was duniani Mungu hausiki nao
Wee toaa tu mkuu usiofu Wala nn to sadaka mengine yatajulikana tuMichango imekuwa mingi sana Kanisa Katoliki..
Mbaya zaidi ukikaa karibu na hao makuhani unaweza acha kutoa kabisa..
Kuna sadaka ya kawaida ya jumuiya
Kuna tegemeza jimbo
Kuna tegemeza parokia
Kuna mavuno
Kuna zaka
Kuna mchango wa ujenzi
Kuna mchango wa UWAKA/ WAWATA
kuna mchango wa gari la paroko
Michango ni bandika bandua
Zaburi 1 (Biblia Takatifu)1. Jumuiya kumekuwa ni sehemu za Majungu.
2. Jumuiya imekuwa ni sehemu za Kuchunguzana Kimaisha.
3. Jumuiya imekuwa ni sehemu ya Masutano.
4. Jumuiya imekuwa ni sehemu ya Wanaume Kutongoza na Wanawake kutafuta wa Kuwachapa Nao ( Kuwabandua )
5. Jumuiya imekuwa ni sehemu ya Kutishana kuwa kama hauhudhurii basi Ukifa ( Ukifariki ) Kanisa Katoliki halitokuombea ukiwa Jenezani Kwako.
6. Jumuiya imekuwa ni sehemu ya kila Siku kuja na Michango isiyo na Kichwa wala Miguu.
7. Jumuiya imekuwa ni Gulio Kuu la kila aina ya Unafiki unaoujua na usioujua hapa duniani.
Halafu Wewe Mwenyekiti, Katibu na Mweka Hazina wa Jumuiya yangu hivi mnavyonitishia kuwa kama nisipohudhuria Jumuiya Nikifa hamtoniombea mmeshazungumza na Baba Mungu na akawaambieni kuwa ataanza Kunitanguliza Mimi Kaburini kabla yenu? Wapuuzi wakubwa nyie.
Je, mnavyong'ang'ania Kutoniombea GENTAMYCINE pale Nikifa je, ile Siku ninazaliwa mlikuja Agha Khan Hospital mbele ya Sister Brendah na Sister Aghata waliohakikisha Nazaliwa vyema na salama Kuniombea? Wapuuzi wakubwa nyie.
Na nani aliyewadanganyeni kuwa Imani ya Ukatoliki inapimwa kwa Kuja Kwake ( Kuhudhuria ) katika Jumuiya za Kikatoliki kila Jumamosi kama ya hii leo?
Nilichoamua tu na najua hata Mwenyezi Mungu ananibariki nacho ni kwamba nitajitahidi Kuhudhuria Ibada zote za kila Jumapili ( hasa Misa yangu pendwa ya Kwanza ) na kutoa Sadaka na Michango ya Kikanisa kama tu nitakuwa Nimebarikiwa na Uchumi kwa wakati huo na kama sina najua hata Mola / Maulana nae atajua na hatonichukia au kuwa na Usununu ( Kinyongo ) nami.
Nawatakieni nyote Jumuiya njema!!!!
Kuliko Ukomunisti?Dini ni kifungo kibaya sana kuliko hata gereza.
Hawa watu bn Padri aligoma kuja kusali kweny mazishi ya baba angu kisa ety alikua ahudhulii hivo vikao vyao vya asubui ety hadi tutoe faini me nkamwambia tu bi mkubwa mine natafuta wasabato waje wamzike mshua angu eeeeh nkatoa taarifa hapo S.D.A haraka haraka wakaja kutuongezea ibada hadi siku ya mazishi1. Jumuiya kumekuwa ni sehemu za Majungu.
2. Jumuiya imekuwa ni sehemu za Kuchunguzana Kimaisha.
3. Jumuiya imekuwa ni sehemu ya Masutano.
4. Jumuiya imekuwa ni sehemu ya Wanaume Kutongoza na Wanawake kutafuta wa Kuwachapa Nao ( Kuwabandua )
5. Jumuiya imekuwa ni sehemu ya Kutishana kuwa kama hauhudhurii basi Ukifa ( Ukifariki ) Kanisa Katoliki halitokuombea ukiwa Jenezani Kwako.
6. Jumuiya imekuwa ni sehemu ya kila Siku kuja na Michango isiyo na Kichwa wala Miguu.
7. Jumuiya imekuwa ni Gulio Kuu la kila aina ya Unafiki unaoujua na usioujua hapa duniani.
Halafu Wewe Mwenyekiti, Katibu na Mweka Hazina wa Jumuiya yangu hivi mnavyonitishia kuwa kama nisipohudhuria Jumuiya Nikifa hamtoniombea mmeshazungumza na Baba Mungu na akawaambieni kuwa ataanza Kunitanguliza Mimi Kaburini kabla yenu? Wapuuzi wakubwa nyie.
Je, mnavyong'ang'ania Kutoniombea GENTAMYCINE pale Nikifa je, ile Siku ninazaliwa mlikuja Agha Khan Hospital mbele ya Sister Brendah na Sister Aghata waliohakikisha Nazaliwa vyema na salama Kuniombea? Wapuuzi wakubwa nyie.
Na nani aliyewadanganyeni kuwa Imani ya Ukatoliki inapimwa kwa Kuja Kwake ( Kuhudhuria ) katika Jumuiya za Kikatoliki kila Jumamosi kama ya hii leo?
Nilichoamua tu na najua hata Mwenyezi Mungu ananibariki nacho ni kwamba nitajitahidi Kuhudhuria Ibada zote za kila Jumapili ( hasa Misa yangu pendwa ya Kwanza ) na kutoa Sadaka na Michango ya Kikanisa kama tu nitakuwa Nimebarikiwa na Uchumi kwa wakati huo na kama sina najua hata Mola / Maulana nae atajua na hatonichukia au kuwa na Usununu ( Kinyongo ) nami.
Nawatakieni nyote Jumuiya njema!!!!
Uongo mtupu.Hakunaga hicho kitu RCHawa watu bn Padri aligoma kuja kusali kweny mazishi ya baba angu kisa ety alikua ahudhulii hivo vikao vyao vya asubui ety hadi tutoe faini me nkamwambia tu bi mkubwa mine natafuta wasabato waje wamzike mshua angu eeeeh nkatoa taarifa hapo S.D.A haraka haraka wakaja kutuongezea ibada hadi siku ya mazishi
Aisee wewe ni kichwa. Mimi ni Mlutheri nimetoka kumwambia mke wangu sitaki jumuiya kuanzia leo asubuhi. Shenzi type!1. Jumuiya kumekuwa ni sehemu za Majungu.