Ukiachana na maisha binafsi 50 CENTS kwenye Muziki alikuwa habari nyingine yaan ni moto wa kuotea mbali.Sasa ukiwa na Dr.Dre na Scott Storch unategemea nini zaidi ya mauaji tu [emoji23][emoji23][emoji23]!
Hadi leo hii best of 5O cent tracks unaweza ukajaza server, binafsi simpendagi jamaa kwa attitude yake ya kiduanzi huwa anagombanaga na kila mtu
yani ila hits alikuwa nazo in his prime time.
Ja rule alimkalisha 50 mwaka gani we mbugila? Mbona unalazimisha vitu ambavyo havipo. On his prime 2003 - 2007 hakuna mtu alimuweza 50 Cents.Alafu 50 alikalishwa na ja rule akaja kupotezwa na Lili wayne!
Kumbe alikuwa na kovu?nilikuwa sijui aiseeHuyu jamaa kile kiplasta chake pale shavuni [emoji3][emoji3][emoji3] mabishoo wa bongo walijua ni style kumbe jamaa alikua anaficha kovu [emoji1][emoji1][emoji1] mbele unyamwezi mwingi saaaanaaa [emoji482]
Hii nayo ngoma kali sana, nadhani iko ile Album ya Music of the Spheres...Cold play-higher power
50 Cent siyo wa kawaida,......50 cent aliichukua game ya hip hop akaiweka anavyotaka kwa wakati ule. Japo weusi wenzie walikuja kumkandia ili aonekane wakawaida.
If i can'tView attachment 2315970
Hapa 50 cent. Alifanya nimkubali mpaka kesho. Hasa ile Hustler Ambition imesimama zingine pia ni [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Uyu mwamba walimshusha tu ila ni shidaIf i can't
If i can't
If i can't.....[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Kabsa na baada ya pale The Game hakutoa ngoma zilizokamata kama zile alizoandikiwa na 50 cent50 Cent siyo wa kawaida,......
Album ya The Documentary iliyomuweka The Game kwenye ramani iliandikwa na Curtis........
Huu wimbo una mashairi mazuri sanaOyaaa ...balaa na nusu
My pride il all I have
The pride is what I have baby am what you have
You will be needing me bad too bad
Be easy babes don't make decisions when you are mad
Achana nae huyo huko juu anakuambia 50 alikuja kupotezwa na lil wayne[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]We jamaa mziki umeenza kufatilia juzi itakuwa, yaan 50 abebwe na The Game??
Na 50 huyuhuyu aliwarudisha kwenye game mobb deep ila wakashindwa tu kutumia nafasi waliyopewa...........Ja rule alimkalisha 50 mwaka gani we mbugila? Mbona unalazimisha vitu ambavyo havipo. On his prime 2003 - 2007 hakuna mtu alimuweza 50 Cents.
Bifu lake na Kanye West 2007/08 ndio kidogo lilimtikisa, hao akina Lil Wayne si ndio walikuwa wanamjibu I GET MONEY na wao wakaachia I GOT MONEY??
50 Cents alikuwa mnyama, na hata this time akienda kwenye Show like ile iliyofanywa kwa pamoja na Dr. Dre, Eminem, Snoop Dogg nk bado alikiwasha ila mbaya.
To me hakuna msanii wa HipHop Marekani ameweza kufikia level ya 50 Cents katika ubora wake. Ilikuwa hit after hit hana ngoma mbovu.
Tuache ushabiki wa kizamani, Ukiacha NEW YORK una ngoma yoyote ya JA RULE inaweza hata kuingia mbele ya ngoma ya 50 hata ile WANKSTA.??
Yaani the game asainiwe na 50 pale g unit afu ampoteze 50.? Hahahah yaani the game ukitoa nyimbo ile ya how we do na hate it or love it alizoandikiwa na 50 cent tupe nyingine aliyoandika yeye kama yeye afu akafikia level za zile 250 alikuwa anabebwa na the game na yule producer wake nimesahau jina lake.
We jamaa ni kiazi mziki hujui!Ja rule alimkalisha 50 mwaka gani we mbugila? Mbona unalazimisha vitu ambavyo havipo. On his prime 2003 - 2007 hakuna mtu alimuweza 50 Cents.
Bifu lake na Kanye West 2007/08 ndio kidogo lilimtikisa, hao akina Lil Wayne si ndio walikuwa wanamjibu I GET MONEY na wao wakaachia I GOT MONEY??
50 Cents alikuwa mnyama, na hata this time akienda kwenye Show like ile iliyofanywa kwa pamoja na Dr. Dre, Eminem, Snoop Dogg nk bado alikiwasha ila mbaya.
To me hakuna msanii wa HipHop Marekani ameweza kufikia level ya 50 Cents katika ubora wake. Ilikuwa hit after hit hana ngoma mbovu.
Tuache ushabiki wa kizamani, Ukiacha NEW YORK una ngoma yoyote ya JA RULE inaweza hata kuingia mbele ya ngoma ya 50 hata ile WANKSTA.??
Acha ubishi mkuu baada ya the game kuondoka huoni G unit ilivoyumba na 50 mwenyewe akawa hasikiki tena!Yaani the game asainiwe na 50 pale g unit afu ampoteze 50.? Hahahah yaani the game ukitoa nyimbo ile ya how we do na hate it or love it alizoandikiwa na 50 cent tupe nyingine aliyoandika yeye kama yeye afu akafikia level za zile 2
Ukweli sana mkuu. Hakuna msanii pale US anaweza piga show za kibabe km 50 kwenye HIP HOP. achana na kina kanye sijui wavae manguo mapana na nini. Mnyama anapiga show pale jukwaani mpaka unajua yes this is 50Ja rule alimkalisha 50 mwaka gani we mbugila? Mbona unalazimisha vitu ambavyo havipo. On his prime 2003 - 2007 hakuna mtu alimuweza 50 Cents.
Bifu lake na Kanye West 2007/08 ndio kidogo lilimtikisa, hao akina Lil Wayne si ndio walikuwa wanamjibu I GET MONEY na wao wakaachia I GOT MONEY??
50 Cents alikuwa mnyama, na hata this time akienda kwenye Show like ile iliyofanywa kwa pamoja na Dr. Dre, Eminem, Snoop Dogg nk bado alikiwasha ila mbaya.
To me hakuna msanii wa HipHop Marekani ameweza kufikia level ya 50 Cents katika ubora wake. Ilikuwa hit after hit hana ngoma mbovu.
Tuache ushabiki wa kizamani, Ukiacha NEW YORK una ngoma yoyote ya JA RULE inaweza hata kuingia mbele ya ngoma ya 50 hata ile WANKSTA.??
Unamjua OutKast au unaongea kiushabiki mkuu!Ukweli sana mkuu. Hakuna msanii pale US anaweza piga show za kibabe km 50 kwenye HIP HOP. achana na kina kanye sijui wavae manguo mapana na nini. Mnyama anapiga show pale jukwaani mpaka unajua yes this is 50